Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Je kama balehe yake siyo ya kawaida (maradhi) huyu binti anasaidika vipi?unazungumza habari za wakati wa manabii unashindwa kutafakari inawezekana Mungu aliweka wataalamu mbalimbali akawapa ufahamu wa kuelewesha jamii kuacha baadhi ya tabia (hii ikiwemo) kwa sababu zinawatia ulemavu na sononeko watendwaji ambao ndiyo wanapinga hili jambo?

So wewe kwa uzee wako huo leo nikikutengea katoto aged 9 kakiwa upaja nje nikakwambia beba mkeo huyo utakapasua spika just kwa sababu mimi baba yake nimeona anatosha?acheni masihara aloo.
Unaleta Mambo Ya Dhana Hakuna Logic.
 
Kumbuka Ulaya na Marekani wanatoboana Wanaume kwa Wanaume, vipi inatuhusu?

Ulaya wamepunguza umri wa Utu uzima kutoka 18 mpaka 16, mbona wanaharakati feki hamkulishangaa!

Ni mambo yao sisi hayatuhusu
Mkuu kwanza kabisa sijui kama ulielewa nilichoandika wewe ndie uliesema kuwa ya Iraq hayatuhusu na bado ukadai 9yrs akibalehe haina shida. Ulaya gani unazungumzia wewe? Unajua 16 years anakuwa na consent kwenye nini na watu wa umri gani? Unajua ni kwa nini huko ulaya unakozungumzia wakienda hata kununua sigara au viping flavours wanaulizwa ID? Ulizia Marcus kimemkuta nini Dubai he is 18yrs boy na alilala na binti wa 17 yrs ambae alikuwa few moths to 18yrs. Mwisho kabisa sina uana harakati wowote mkuu
 
Boss Hizo Ni Aya Mbili Tofauti Acha Kupotosha,Aya Ya Kwanza Inamzungumzia Mwanamke Na Mahari.Aya Ya Tano Inawazungumzia Mayatima Kama Ifuatavyo:Qur 4:4-5 Na Wapeni Wanawake Mahari Yao Hali
Ya Kuwa Ni Kipawa.Lakini Wakikutunukieni Kitu Katika Mahari,Kwa Radhi Yao,Basi Kileni Kiwashuke Kwa Raha.5.Wala Msiwape Wasio Na Akili Mali Yenu
Ambayo Mwenyezi Mungu Ameyajaalia Yawe Ni Kiamu Yenu.Walisheni Katika Hayo Na Muwavike,Na Mseme Nao Maneno Mazuri.

Usikurupuke Kama Kitu Huna Elimu Nacho,Hizo Ni Aya Mbili Zinazozungumzia Vitu Viwili Tofauti Sidhani Kama HijaelewA Na Kama Hujaelewa Sema Nikupe Mafhum Ya Hizo Aya.
Lengo la aya ya 5 ni kuwa mtoto haingii contract awe ni wa kike au wakiume nilitaka kuonyesha mwanamke ndio anahusika na mkataba wa ndoa au mtoto asiye na akili haingii mktaba hapo nimepotosha nn?
 
Weka Hapa Hiyo Aya Ni Namba Ngapi Mi Nitakusaidia Kuiweka Kwa Kiswahili.
Soma sura nzima ya 4 inazungumzia wanawake na haki zao halafu niletee aya inayoruhusu msichana kuolewa au leta aya yoyote mimi kesho asubuhi utanikuta madhabahuni, kuhusu hadithi zipo kibao wewe unalazimishaje niamini hadithi peke yake tena inakinzana na Quran? Na zipo pia vilevile zinaonyesha Aisha alikua na 12, zingine 15, zingine 19, na 17 msome ibn Kathir,.
 
Screenshot_20250127-220403_Google.jpg
 
Makobazi wanapambana ulimwenguni kote ili waislamu wawe wengi kwenye mataifa mbalimbali na yawe ya kiislamu ili waitumie vizuri hiyo fursa ya miaka 9
 
Mtoto wa miaka 9 anapata hedhi?

Na kwani mtoto akipata hedhi tayari anakuwa mtu mzima?

Labda tuongee taratibu, kuna faida gani kuozesha mtoto mdogo?

kwa mujibu taratubu za uislamu, mtoto akipata hedhi anahesabika tayari ni mtu mzima, mtoto wa kike anakuwa mtumzima kwa kuanza kupata hedhi, na wakiume anakua mtu mzima kwa kuanza kutoka manii.
sas labda wewe utawmbie ili mtoto awe mtumzima awe vipi.
 
Suhendra, mtoto wa miaka 9 akiolewa, shule anakuwa amesoma muda gani?

Au kwenye uisilamu mtoto wa kike hatakiwi kusoma?

Hizo shule zimeanza lini mkuu? unajua kama hizo shule hapa nchini hata miaka 100 hazizidi? na kumekuwa na maisha kwa zaidi ya miaka 2000 nyuma. sasa wewe unaleta hoja ya shule huhisi kama ni upungufu wa fikra.
 
Lengo la aya ya 5 ni kuwa mtoto haingii contract awe ni wa kike au wakiume nilitaka kuonyesha mwanamke ndio anahusika na mkataba wa ndoa au mtoto asiye na akili haingii mktaba hapo nimepotosha nn?
Aya Ya Tano Inazungumzia Habari Za Mayatima Wala Haina Uhusiano Na Habari Za Mwanamke.
 
Kuoa au kufanya mapenzi na mtoto chini ya miaka 18 umebaka, maana yeye bado ana akili za kitoto, unakuwa umemrubuni kufanya kitu asichokijua.

Hivi mtoto wa miaka 9 anapoolewa, shule anakuwa amesoma saa ngapi, au kwenye uislamu mtoto wa kike hatakiwi kusoma?

aliesema miaka 18 ndio ana akili za kijitu kizima ni nani?
 
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.

Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.

Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili

Hiyo Sheria umeisoma katika kitabu gani au ni Nchi gani imepitisha Sheria ya kuoa mtoto wa miaka 9?
Unaelewa lugha ya Kiingereza?
Kinacho endelea ni propaganda za UONGO sasa kwa kuwa watu wengi hawaelewi lugha ya Kiingereza wanabebwa tu kama maboya!
 
Soma sura nzima ya 4 inazungumzia wanawake na haki zao halafu niletee aya inayoruhusu msichana kuolewa au leta aya yoyote mimi kesho asubuhi utanikuta madhabahuni, kuhusu hadithi zipo kibao wewe unalazimishaje niamini hadithi peke yake tena inakinzana na Quran? Na zipo pia vilevile zinaonyesha Aisha alikua na 12, zingine 15, zingine 19, na 17 msome ibn Kathir,.
Mimi Najaribu Kuonyesha Kwamba Kuna Shida Gani Kwa Nyakati Hizo Kwa Msichana KuolewA AkiwA Na 9.Alafu Hujui Walikuwa Wanahesabu Vipi Miaka Yao Walikuwa Wanazingatia Vigezo Gani.
 
Mkuu mimi naiheshimu dini yenu ila kwenye hili swala naona kama mwanamke anachukuliwa kama sex toy na asiyekuwa na maamuzi kuhusu mwili wake. Mtoto wa miaka tisa hata bado hajabalehe na kupevuka kiakili halafu aingie kwenye ndoa hii sio haki.

sharti kuu la kuoa awe amebalegh, haijaalishi umri gani anao. Hiyo miaka 9 imekadiriwa maana ndio umri ambao baadhi ya watoto wa kike wanaanza ku balegh
 
Ndio tunauzungumzia huo utofauti wa mifumo yao.

Tunaona kwamba, mifumo yao inahalalisha ubakaji, na pia inanyima fursa ya elimu kwa mtoto wa kike.

Hakuna utetezi wa aina yeyote hapo, mtoto wa miaka 9 akiolewa anakuwa amenyima fursa ya kusoma shule, na wewe unaunga mkono hilo? How?

Mbona wewe ni kama mtu unaejitambua!

Shule ndio ninimkuu? mbona umagharibu umekuvurugeni akili kupita kiasi hivo?
 
Yaani akishatoka damu ya hedhi tu huyo ni mkubwa na anafaa kuolewa na akazaa.. mtoto mdogo hawezi kuzaa! Tupokuja kwenye sheria ya Tanzania miaka 14 bado mtasema ni mdogo ..
Hii Sheria ya umri wa mtoto wa kike kuolewa ilipigwa kihuni Sana na raia Kama hawakujua Nini kinaendelea.
 
Wewe si muislamu endelea na ukafir wako
Kama ukafiri unamfanya asiwe pedophile and a child abuser, bac aendelee tu kuwa kafiri, kuliko kufuata mafundisho ya pedophile mudy aliyekuwa akitamani watoto kwa tamaa zake binafsi na kusingizia kwamba ni maagizo 'allah' the imaginary god.

STUPIDITY🚮
 
Back
Top Bottom