Boss Hizo Ni Aya Mbili Tofauti Acha Kupotosha,Aya Ya Kwanza Inamzungumzia Mwanamke Na Mahari.Aya Ya Tano Inawazungumzia Mayatima Kama Ifuatavyo:Qur 4:4-5 Na Wapeni Wanawake Mahari Yao Hali
Ya Kuwa Ni Kipawa.Lakini Wakikutunukieni Kitu Katika Mahari,Kwa Radhi Yao,Basi Kileni Kiwashuke Kwa Raha.5.Wala Msiwape Wasio Na Akili Mali Yenu
Ambayo Mwenyezi Mungu Ameyajaalia Yawe Ni Kiamu Yenu.Walisheni Katika Hayo Na Muwavike,Na Mseme Nao Maneno Mazuri.
Usikurupuke Kama Kitu Huna Elimu Nacho,Hizo Ni Aya Mbili Zinazozungumzia Vitu Viwili Tofauti Sidhani Kama HijaelewA Na Kama Hujaelewa Sema Nikupe Mafhum Ya Hizo Aya.