Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Watanzania wajinga ndo wajuaji,toka Kikwete aingie hadi Samia mishahara hulipwa kati ya 20 na 24.
 
Watanzania wajinga ndo wajuaji,toka Kikwete aingie hadi Samia mishahara hulipwa kati ya 20 na 24.
Yaani ikizidi sana huwa ni tarehe 23 sasa Tatzo mtu anasikiliza story za vijiweni anakuja kuleta kwa watu...
Mimi nina mwaka wa 22 serikalimi na Kiukweli kwa awamu hii ni bora kuliko zilizopita
 
Yaani ikizidi sana huwa ni tarehe 23 sasa Tatzo mtu anasikiliza story za vijiweni anakuja kuleta kwa watu...
Mimi nina mwaka wa 22 serikalimi na Kiukweli kwa awamu hii ni bora kuliko zilizopita
mwaka wa 22?
hakika ww umefaidi sana
 
Wanatunga tu then Kama unavyojua watanzania hawana Elimu ya PESA ebu Mwambie awafatilie hata wanajeshi au polisi au madokta wote hao mshahara ukichelewa wanakuaga hoi sana.
Mshahara haujawahi tosha mzee,wote mshahara haukuwepo labda jumatatu ya tar 23 utatoka,
Na kuhusu uhoi wa watumishi haujawahi muacha mtumishi salama.Mshahara ukichelewa ni majanga kwa wote mtu asikudanganye[emoji3][emoji3]
 
Chache sana ila ningekuwa sijafunga Ndoa na serikali ningewekeza nyingi Pamoja na nguvu Na Muda
YEES BUT SIO KWAMBA UMEPOTEZA EVERYTHING.......................nDIO MAANA KUKAWEPO DIVISION OF LABOUR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…