Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Hahahaha, nikiona uzi unaomhusu mwalimu kwangu huwa ni burudani.
 
Walimu wengi wana magari lkn mmhhh, tembelea familia zao ujionee.Ukitaka kujua hali mbaya siku moja nenda shule yoyote iliyoko mjini wambie kesho atakayekuja na kadi yake ya ATM nitampa sh 5mln, njoo na milioni 20, unaweza kurudi nazo hizo miln 20.
 
Haujawajua askari magereza wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…