Hapa ndipo huwa tunatolewa mapema kwenye mashindano ya nje.
Hii list uliipataje? Ukaacha warembo wazuri kama
1. Tayana-wog
2. Joanah
3. @L
4.@A.
Hapo yupo mmoja tu Demi
Bench la ufundi msimuingilie kocha kwenye usajili au kuita wachezaji
Ni vigezo gani vimetumika kuwashindanisha hawa na sio wengine? Yaani hujaja na sababu za kuwashindanisha hawa, umeacha maelfu wengine. Bila vigezo hili "shindano" ni ubatili mtupu.
Dhahabu hufichwa kwenye miamba JohKuna mtu atakuja kukwambia hakuna pisi kali inayobet
Nwei...hata mie mleta mada kanishangaza kidogo yaani imewezekana vipi kwenye top ten yake nimekosekana π€£π€£π€£
Hutatolewa mapema sama game za kimataifa. Halafu kuna watu wakuja na usemi. " haiombwi hivyo"πππKuna mtu atakuja kukwambia hakuna pisi kali inayobet
Nwei...hata mie mleta mada kanishangaza kidogo yaani imewezekana vipi kwenye top ten yake nimekosekana π€£π€£π€£
Tofautisha MADEMU na mama zetuHawana mchango wowote wakati miezi tisa ulikuwa unanyea tumboni mwake mama yako. Embu kuwa Serious.
Piga kura hutaki waachie wengine. Maelezo mengine tofauti na kinachoendelea hapa hayana umuhimu wowote
Aunt Faiza π₯³
Hao wengine sina uhakika kama ni wadada..
Unafikiri naweza kumtaja mrembo wangu hapa hadharani?Kuna mtu atakuja kukwambia hakuna pisi kali inayobet
Nwei...hata mie mleta mada kanishangaza kidogo yaani imewezekana vipi kwenye top ten yake nimekosekana π€£π€£π€£
Hutatolewa mapema sama game za kimataifa. Halafu kuna watu wakuja na usemi. " haiombwi hivyo"πππ
Teh!Unafikiri naweza kumtaja mrembo wangu hapa hadharani?
Thubutu
Tofautisha MADEMU na mama zetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Donatila miss mlokole ...
Asante kaka[emoji120]
Tuweke warembo watakaotuwakilisha hata instaππHao wa 'haiombwi hivyo' tuwatupilie kwenye lile group la haters π
UHalisia ndio huishi ndani mwanguTeh!
Tabia ya kumjaza mtu umeianza lini tena
Binafsi nimempigia ninaempenda
Waweke picha,wafiche na nyuso zao,happy ninayemjua ni@Demi tu,wengine siwajui na sina uhakika kama walioorodheshwa hapo wote ni wadada au wamama,maana nimewahichati na mdau,kumbe ni ME humu.