Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Wanawake wa jamiiforums wengi ni wagumu hamna pisi kali wala miss hapo.
Ni ngumu kukuta pisi kali kwanza inaijua jamiiforums.
Research yangu ni kutokan na wanawake wengi pisi kali ukiwatajia jamiiforums kwanza wanashangaa

Tunaakisi tu uzuri wa mtu hapa kwa jina na dp za uongo ambazo 99.9999% si zao asilia..
Ukitaka kuakisi uzuri wa wanawake wa jamiiforums jenga picha ya wale wadada waliokuwa mashule shule.. maviongozi...huko tunapoishi nao

Hujabahatika tuu mkuu. Ingawaje usemalo nalo lipo
 
Wanawake wa jamiiforums wengi ni wagumu hamna pisi kali wala miss hapo.
Ni ngumu kukuta pisi kali kwanza inaijua jamiiforums.
Research yangu ni kutokan na wanawake wengi pisi kali ukiwatajia jamiiforums kwanza wanashangaa

Tunaakisi tu uzuri wa mtu hapa kwa jina na dp za uongo ambazo 99.9999% si zao asilia..
Ukitaka kuakisi uzuri wa wanawake wa jamiiforums jenga picha ya wale wadada waliokuwa mashule shule.. maviongozi...huko tunapoishi nao
Ukiwa timamu Kichwani utampigia tu Mwanamke aliyejaaliwa vingi na Baba Muumba Leejay49

Kila la kheri Kwake.
 
Hapa ukiwa na uhusika wa kike utajulikana kama Mwanamke na ukiwa na uhusika wa kiume utajulikana kama mwanaume.
Mkuu tushirikishe formula ya kujua huyu wa kike na huyu siyo wa kike... mi nilichoona humu,baadhi ya wadau wana-bet kujua kua huyu wa kike na huyu wa kiume... kutokana na comments,mtu kama BUCHWA KOMWE sidhani kama ujajua jinsia yake.
 
Ni bora zaidi tungeshindanisha kulingana na contents zao na michango katika nyuzi mbalimbali ila suala la umiss halafu watu hawaonekani...
😅😅😅😅

Ila acha uzi uende na uchangamke...sio kila jambo la kuchukulia serious humu jamiiforums..
mwisho wa siku tumpate miss jamiiforums 2023.

kura yangu imeenda kwa FaizaFoxy naamini atashinda
 
Back
Top Bottom