Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .

Hujabahatika tuu mkuu. Ingawaje usemalo nalo lipo
 
Ukiwa timamu Kichwani utampigia tu Mwanamke aliyejaaliwa vingi na Baba Muumba Leejay49

Kila la kheri Kwake.
 
Hapa ukiwa na uhusika wa kike utajulikana kama Mwanamke na ukiwa na uhusika wa kiume utajulikana kama mwanaume.
Mkuu tushirikishe formula ya kujua huyu wa kike na huyu siyo wa kike... mi nilichoona humu,baadhi ya wadau wana-bet kujua kua huyu wa kike na huyu wa kiume... kutokana na comments,mtu kama BUCHWA KOMWE sidhani kama ujajua jinsia yake.
 
Ni bora zaidi tungeshindanisha kulingana na contents zao na michango katika nyuzi mbalimbali ila suala la umiss halafu watu hawaonekani...
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ila acha uzi uende na uchangamke...sio kila jambo la kuchukulia serious humu jamiiforums..
mwisho wa siku tumpate miss jamiiforums 2023.

kura yangu imeenda kwa FaizaFoxy naamini atashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…