Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Mungu ni mwema imepita salama salmini tusubiri kufunga mwaka, Ameen ndugu yangu nakuombea pia baraka na mafanikio Mungu akajibu maombi yako yote.

Mimi nishakua bibi hayo mambo tuwaachie vijana, sisi watu wazima kazi yetu kupiga kura tuπŸ˜„
 
Duh,kumbe Mbowe lilikua disco la wahuni ,ndio maana wazazi wetu waliona kwenda Disco uhuni sababu waliongelea sana Mbowe hahahahaahaha
 

Miss JF kwa Wakongwe hujambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…