Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Asante Nifah nipigie huyo Leejay49 timu ya GENTAMYCINE
Msimamo mpaka hivi sasa
IMG_20231226_233057.jpg
 
Asante Nifah nipigie huyo Leejay49 timu ya GENTAMYCINE
Msimamo mpaka hivi sasa
View attachment 2854113
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Hao washiriki wajitokeze waombe kula basi tujue yaliyomo yamo..

kwanza hapo usikute wanawake ni FaizaFoxy na Nifah tu 😂😂
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Kwenye hiyo list unaweza kuta wanawake Ni wawili tu🤣,
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Kwahiyo tumpigie kura kisa unamjua wewe..
Urembo wake kwako na sisi tuna warembo wetu acha kampeni
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Kwema Wakuu!

Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.

Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?

Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi

Miss JF 2023. Ameng'arisha
Mimi kura yangu inaangukia kwa rubii
ah..kumbe hujaweka jina lake kwenye orodha?
Basi ngoja nifikirie kwanza ntarudi kupiga kura
 
JF inawarembo wengi sana
Sample frame yako ime base na popularity

So title ingebadilika ikasomeka 'Mchangiaji bora wa kike 2023"

Hapo ingependeza na ukaweka na statistics zao

Ila hii sijui Miss hell no may be ubandike oicha za wote tuchague
 
Kwema Wakuu!

Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.

Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?

Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi

Miss JF 2023. Ameng'arisha
Sasa tutachagua watu tusiowahi kuwaona?
 
Back
Top Bottom