Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?Asante Nifah nipigie huyo Leejay49 timu ya GENTAMYCINE
Msimamo mpaka hivi sasa
View attachment 2854113
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?Kwenye hiyo list unaweza kuta wanawake Ni wawili tu🤣,
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?Kwahiyo tumpigie kura kisa unamjua wewe..
Urembo wake kwako na sisi tuna warembo wetu acha kampeni
Wow nimeipenda hii art mkuu 🙌Asante Nifah nipigie huyo Leejay49 timu ya GENTAMYCINE
Msimamo mpaka hivi sasa
View attachment 2854113
Mimi kura yangu inaangukia kwa rubiiKwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?
Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi
Miss JF 2023. Ameng'arisha
Tena ni mstaafu wa serikalini analea wajukuuFaizafoxy mtoe hapo ni kibibi.
Sasa tutachagua watu tusiowahi kuwaona?Kwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?
Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi
Miss JF 2023. Ameng'arisha
Naunga mkonoJF inawarembo wengi sana
Sample frame yako ime base na popularity
So title ingebadilika ikasomeka 'Mchangiaji bora wa kike 2023"
Hapo ingependeza na ukaweka na statistics zao
Ila hii sijui Miss hell no may be ubandike oicha za wote tuchague
Tena sanaBila kuambatanisha picha za washiriki huu ni upupu mkuu.