Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Mbona bila Joanah hiyo list ni batili
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Hapana asifanye hivyo! Msimfuate huyo GENTAMYCINE mvuta bangi anayetafuta free P kama lara1 alivyokuwa anawaita.

Kubaki anonymous hapa JF ni muhimu sana kama mtu unataka kuwa na heshima zako katika jamii. Leejay49 jikalie kimya na huenda pengine wewe umri umekwenda au kabinti sura ya baba au ya mama nani anajua. Acha kila mtu ajenge hisia zake kichwani.

Usisahau sisi ndiyo sisi nje ya JF. Kuaibika hapa JF ni kuleta doa jeusi katika maisha ya kawaida.
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Matokeo anaongoza nani hadi sasa

Kura yangu nampa dada Popoma

Sent using Jamii Forums mobile app

HAIOMBWI HIVYOOOOOO

Hapo mi naona ashinde mamaa ya Hamas FaizaFoxy

Kwa mi id yako 90 lazima ashinde hahahaha! Halafu sutoshangaa unayempromote akawa ni wewe mwenyewe maana wewe kichwa chako na mi id yako ni kisanga tupu 😂😂😂😂😂
 
Hahah basi nishalijua hili lijamaa, mshikaji sanaaaaa...

Nakumbuka kwenye Miss Chit chat tulikuwa tunapambana usiku na mchana kukampenia wateja wetu washinde...

Lilishindwa kesi nini hadi limebadili aidentiti...?
😂😂😂😂😂😂
Mkuu nimekumbuka kijiweni Leo Tupo hapa…..aiseee kuna siku nilikuwa bwiii hadi mtambuzi ikabidi anisindikize hadi kwenye guest ya pale jirani halafu niliwaacha pale kijiweni hatari sana …..
 
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
Sawa sawa
 
🤣🤣🤣🤣🤣 nimeamka hapa kumbadilisha dogo diaper..Na huyu mwingine kumpa maji ya kunywa...Naingia jf nakuta tag nagombea umiss nyie jamani 🤣🤣🤣🤣 wakati huo huo leo nimetembelewa na mjukuu wangu Sofia 🤣🤣🤣🤣🤣 Robert Heriel Mtibeli ishi sana huna baya...
amu nimekuona nikakumbuka mdundiko…😂😂😂
 
Kwema Wakuu!

Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.

Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?

Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi

Miss JF 2023. Ameng'arisha
Picha zao?
 
Back
Top Bottom