Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Hakuna haki hapa πππππ
Hao wote uliowaweka bila kuwawekaMpo salama Wakuu!
Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yΓ΄te Kwa yΓ΄te yeye ndiye aliibuka kidedea.
Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo.
1. Midekoo
2. Palina
3. binti kiziwi
4. Kapeace
5. Mamndenyi
6. Evelyn Salt
7. loviesundy
8. To yeye
9. Kalpana
10. Numbisa.
VIGEZO
1. Hisia zako hasa (schema) yΓ ani ubongoni mwako unahisi ni mzuri hata kama hujamwona.
2. Michango Yake inafurahisha na kukufanya uone uwèpo wake JF unakupa Raha.
3. Unahisi anatabia Njema hata kama yeye mwenyewe kiuhalisia huenda ni kichomiππ
Hutaki KΓΊpiga Kura pita kushoto.
Chapati zake tamuuuuuvigezo vyao ni vipi? na huo urembo tunaangalia avata zao au tunawezaje kuwatofautisha? wapenda misosi tutaegemea kwa @Ailiyah
Mwisho wa wa shindano nitafanya kama Dovutwa A. Dovutwa natangaza "nimejitoa katika uchaguzi kura zangu nampa fulani"Hakuna haki hapa πππππ
Mtu mbabe tuu kila mda..
Alafu anaongoza ndo nini sasa..
Mi nakata rufaa dadek πππππ
Watu muhimu sana wameachwa, huyo Mshangazi ni dogo wa kiume mwenye stress za maisha anayetafuta relief kwa kujifanya ni ke
Kuna mmoja hivi Mshamba fulani, mpenda Sifa na Umaarufu, Godoro la Wengi, anajifanya Mtu wa Info za Ndani, Keshabanduliwa na Njemba kadhaa hapa huku akijifanya Yeye ni JamiiForums na JamiiForums ni Yeye nashangaa katika List yako hayuko.
Hata hivyo kwa Sura yake mbaya, Kukondeana Kwake kama Fidodido, Ushamba alionao kuanzia Kwao / Alikokuwa amepanga Gongo la Mboto sijashangaa kutokuwepo na najua huko aliko Kanuna kweli kweli Kudadadeki zake.
Imeisha hiyo.
ππππππ Hatareee hiyo...Mwisho wa wa shindano nitafanya kama Dovutwa A. Dovutwa natangaza "nimejitoa katika uchaguzi kura zangu nampa fulani"
Tz kuna vituko walah
ππππππ Hatareee hiyo...
Sema ubabe acha sawa...
πππ Watakukimbia kudadek...
Nipigie nipo pale pale tunako kulaga miguu ya kuku na supu ya bandama π€£π€£π€£
Hiyo ya mwaka jana mbona mi sikuiona!, halafu mnapigaje kura urembo ikiwa picha zao hatujaziona..?
there's something not going good here!
waambie washiriki wote hapo wanitumie picha zao pm ndo nipige kura yangu!
Aanze upya kakosea unamuacha vipi ledada , Makiwendo , financial services Cute Wife ???
Huyo Compresor yake ni nzima fridge likizimwa....Mbona alisema ana bandama kubwa, kumbe namshindaπ
Ahsante Manyanza...Aanze upya kakosea unamuacha vipi ledada , Makiwendo , financial services Cute Wife ???
Robert Heriel Mtibeli soma maoni yetu na uboreshe.