Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

Happy ndipo ninapo anzia kuichukia ccm
 
Wanaoitaka starlink ije wengi wao hawana uwezo wa kuihudumia. Hiyo ni nzuri kwa watu ambao wako remote areas, hapa mjini hata vodacom kwa 120,000 unapata unlimited 30Mbps
Hii package naipataje mkuu?
 
Ulishawahi kusoma Reviews za hizi App mbili?

Unajua kiasi cha reviews zake?

Unataka kusema wote walio rate kwa 5 star ni vichaa

Acha Siasa za kizamani
Elezea PSIPHON baada ya bando kuisha inaunganishaje? mbona Mimi bando likiisha inakataa kuunga na ukiconnect PSIPHON bando linatembea sio kawaida mda mfupi tu linakata na likikata inagoma kuconnect, toa maelezo ya kina
 
Hujajibu nilichokuuliza.
Pitia comments za App zote mbili - Kisha jijibu imewezekanaje
 
Ikiwa hivyo na ni unlimited huoni bado ni faida? Unlimited gani hapa bongo unaweza kupata kwa 20 elfu?
 
Hawa wezi wanaoibia watanzania(Tigo, halotel, voda, airtel) wakishirikiana na mamlaka hawataki kuskia hii inanzishwa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…