Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coudrey ambaye alimshauri Elon kuileta Starlink Afrika Mashariki hususani Tanzania ili Watu wawe na internet ya uhakika ya kuwawezesha kupata taarifa na kuwa na kesho iliyo bora ambapo Elon alinukuliwa akijibu “Tunasubiri kibali kutoka Tanzania”
Kwa upande wa Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Nape Nnauye ambaye Watanzania wengi walimtag kwenye tweet hizo ili kupata kauli yake alinukuliwa akisema “Walishajibiwa siku nyingi wana documents wanatakiwa kukamilisha ili mchakato uendelee, hawajakamilisha documents”
Hii package naipataje mkuu?Wanaoitaka starlink ije wengi wao hawana uwezo wa kuihudumia. Hiyo ni nzuri kwa watu ambao wako remote areas, hapa mjini hata vodacom kwa 120,000 unapata unlimited 30Mbps
Elezea PSIPHON baada ya bando kuisha inaunganishaje? mbona Mimi bando likiisha inakataa kuunga na ukiconnect PSIPHON bando linatembea sio kawaida mda mfupi tu linakata na likikata inagoma kuconnect, toa maelezo ya kinaUlishawahi kusoma Reviews za hizi App mbili?
Unajua kiasi cha reviews zake?
Unataka kusema wote walio rate kwa 5 star ni vichaa
Acha Siasa za kizamani
Hujajibu nilichokuuliza.Elezea PSIPHON baada ya bando kuisha inaunganishaje? mbona Mimi bando likiisha inakataa kuunga na ukiconnect PSIPHON bando linatembea sio kawaida mda mfupi tu linakata na likikata inagoma kuconnect, toa maelezo ya kina
Unlimited 5GHii package naipataje mkuu?
Nimeona sehemu kuwa lobbists wanapigana vikumbe TCRA ili leseni isitolewe kwa starlink.Rostam atapambana kuwazuia hawa
Ikiwa hivyo na ni unlimited huoni bado ni faida? Unlimited gani hapa bongo unaweza kupata kwa 20 elfu?1. hao watu yabidi waishi sehemu moja ku share modem
2. waki share internet, surfing speed itagawanywa, kama wapo 10 na wako kwenye data plan ya 50Mbps jua kwamba kila mmoja atadaka 5Mbs kama waki surf kwa mda mmoja, sasa umeruka nini umekanyaga nini
umecheki speed mzee, 5Mbps, na hao watu/majirani 10 utawapata wapi ?Ikiwa hivyo na ni unlimited huoni bado ni faida? Unlimited gani hapa bongo unaweza kupata kwa 20 elfu?
5Mbps ni sawa na kusema kila sekunde unadownload megabyte 5? Kama ndivyo share screenshot ya mtandao unaotumia hata kama ni 5G ambayo inazodi hiyo speed hapa tanzaniaumecheki speed mzee, 5Mbps, na hao watu/majirani 10 utawapata wapi ?
tuwe realistic
hapana, ni megabit 5, sawa na 0.625 megabyte == 640 kilobytemegabyte 5?
Hapo Rostam ndo top kupinga starlinkNimeona sehemu kuwa lobbists wanapigana vikumbe TCRA ili leseni isitolewe kwa starlink.
Voda,tigo, wananchi, simba
Kama ni hiyo hapana aiseehapana, ni megabit 5, sawa na 0.625 megabyte == 640 kilobyte
VodaCom 3G tu inazidi hiyo speed hapa nilipo
naona ni 4G , iko likely kuwa 2 megabytes/sKama ni hiyo hapana aisee
Nitafsirie hiiView attachment 2510780
Sasa nilijua ulimaanisha itakuwa 5megabytes hiyo ya elon baada ya kugawana kama itakuwa chini ya hapo sioni haja ya elon kupewa kibalinaona ni 4G , iko likely kuwa 2 megabytes/s
Na Vodacom piaRostam ndo mmiliki WA Tigo.Zantel ..kampuni zinazowakamua watanzania hela Kwa bando