Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi
Nia anayo, ili kuridhisha wanasiasa wapinzani, yote hii ni kukwepa katiba mpya.

Usifikiri katoa maoni haya kutoka hewani, naamini baada ya serikali kubinywa, wameona solution ni kuwapa wapinzani wait kisiasa tume huru, ili wakae kimya. Waachane na suala la katiba mpya.

Kwa jicho la mbaliii, naona Mbowe akiachiwa Kwa sharti la kuachana na suala la katiba mpya Kwa kua Alisha Hongwa tume huru.

Inaeleweka, kizungumkuti kwenye katiba mpya ni Masuala ya Muungano.
Hali ni tete hivo Basi ni afadhali Tume huru kuliko Muungano kuwa dhaifu,
Ukizingatia n 1 wa Sasa akipata nafasi au sababu anaweza egemea kuleeeee.
Na ikawa ndo mwisho wa Kila kitu.
Lakini sisi Wapinzani tukishapata Tume HURU ya Uchaguzi tukaingiza Wabunge wengi baadae tutakuwa na ubavu wa kubadili Katiba.
 
Nilikuwepo, ile katiba ilikuwa ni kianzio kizuri! Jambo kubwa lililokataliwa na Kikwete lilikuwa ni Muungano wa serikali 3, lakini mengine karibu yote yalikubaliwa yakiwemo ya kuondoa vyeo vya wakuu wa mikoa, wilaya na kuunda tume huru ya uchaguzi!! Huwezi ukashinda kila kitu

Kama ulikuwepo unasemaje hiyo katiba ilishindikana kwa sababu yetu?
 
o

okay
 
Wapi tumegomea? Samia kasema changamoto za kiuchumi zinazotokana na Corona zikiisha Katiba itapatikana, ni kitu gani kigumu sana kusubiri? Hata dunia itatushangaa tukianza hekaheka za Katiba kipindi hiki kigumu ambacho dunia inapita

Mbona tumenunua ndege kipindi cha Corona, wakati ndege ni bei ghali kuliko katiba mpya? Au hiyo dunia hautushangai tukinunua ndege kipindi hiki cha Corona?
 
Kama ni kweli Hii taarifa itakuwa ni Habari Njema mwanga Umeanza kuonekana
 
Kwa nini mnapenda kupinga, kukashfu na kubeza kila kitu, as long as kinatoka upande ambao hamkubaliani nao? Kwa style hii itachukua muda mrefu sana wapinzani kutoboa
ni kw sababu hao akina Pinda hawaaminiki tena. Ile social trust imepotea
 
Lakini sisi Wapinzani tukishapata Tume HURU ya Uchaguzi tukaingiza Wabunge wengi baadae tutakuwa na ubavu wa kubadili Katiba.
😀😀😀😀, Haahaa, unajua maana ya katiba mpya Kwa chama tawala.

Katiba huwa ni ya wananchi kuwabana wanasiasa, hasa wa chama tawala.

Usishangae ikitokea hivo ni CCM watakua wanadai katiba mpya toka Chama pinzani kilichopo madarakani na mikiki mikiki itakua juu ya CCM.

Kwa hio usijidanganye, wakati ni Sasa Kwa manufaa ya wananchi.

Nasubiri kuona wapinzani wakihongwa Tume huru, kuwasaliti wananchi ili niwadharau kabisa.

Binafsi sipendi Muungano wetu uwe dhaifu. Nilidhani itafutwe solution kwenye katiba mpya. Wataalamu wetu wakiacha uzandiki inawezekana.
 
Sisi Wapinzani hatutawaangusha Wananchi wa Tanzania kamwe!

Tume ikiwa HURU ni mwanzo wa matakwa ya Wananchi kusikilizwa, tutaingiza Wabunge na Madiwani wengi

Mfano mzuri Kenya KANU bado ipo ila imekimbiwa na Wananchi.
 
😀😀😀😀, Haahaa, unajua maana ya katiba mpya Kwa chama tawala.

Katiba huwa ni ya wananchi kuwabana wanasiasa, hasa wa chama tawala.

Usishangae ikitokea hivo ni CCM watakua wanadai katiba mpya toka Chama pinzani kilichopo madarakani na mikiki mikiki itakua juu ya CCM.

Kwa hio usijidanganye, wakati ni Sasa Kwa manufaa ya wananchi.

Nasubiri kuona wapinzani wakihongwa Tume huru, kuwasaliti wananchi ili niwadharau kabisa.

Binafsi sipendi Muungano wetu uwe dhaifu. Nilidhani itafutwe solution kwenye katiba mpya. Wataalamu wetu wakiacha uzandiki inawezekana.

Tatizo hiyo katiba mpya inaitwa ya muungano na muungano wenyewe ni uvamizi wala haukubaliki kisheria . CCM wako kwenye njia panda , si katiba wala si Tume huru.

kwanza ni kuuvunja huu uvamizi ulioitwa muungano
 
Hiz changamoto kwa akili yako ztakwisha lin????ile ni hadaa tu na si vinginevyo
Wapi tumegomea? Samia kasema changamoto za kiuchumi zinazotokana na Corona zikiisha Katiba itapatikana, ni kitu gani kigumu sana kusubiri? Hata dunia itatushangaa tukianza hekaheka za Katiba kipindi hiki kigumu ambacho dunia inapita
 
Tatizo hiyo katiba mpya inaitwa ya muungano na muungano wenyewe ni uvamizi wala haukubaliki kisheria . CCM wako kwenye njia panda , si katiba wala si Tume huru.

kwanza ni kuuvunja huu uvamizi ulioitwa muungano
Ndugu, kuungana ni heri, kutengana ni Shari. Tukiacha ubinafsi, Muungano wetu ni Tunu.
Sioni uvamizi mm,ingekua tumevamia tungekua huku bara tunawanyonya Kwa namna yoyote ile, badalayake Kwa mtazamo wangu, Rasrimali nyingi zinaelekea kule.
 
Sijasema kuungana ni vibaya , KUUNGANA NI VIZURI SANA TENA SANA Lakini huu Kisheria si muungano ni uvamizi uliopewa jina la muungano.

Wewe huoni uvamizi kwa sababu huelewi ulianzia wapi

Kwa ufupi Zanzibar ilipata uhuru wake tarehe 10 Disemba 1963 ikiwa na waziri mkuu wake anayeitwa Mohammed Shamte Hamad , Mpemba wa kijiji cha Ole. Tarehe 12 Januari 1964 serikali yake ilipinduliwa na uvamizi wa majeshi ya Nyerere . Shamte pamoja na baraza lake la mawaziri wakapelekwa Tangnyika kufungwa kabla huu uvamizi uitwao muungano haujapewa jina

Nitakuwekea hotuba ya Nyerere baadaye kuthibitisha maneno yake mwenyewe kuwa wamakonde kutoka Tanganyika walisaidia uvamizi
 
Sikutarajia kabisa huyu mzee anaweza kuwa mnafiki kiasi hiki,yeye si ndiye alikuwa anajifanya Swahiba wa Jiwe hadi akataka huyo jamaa yake aendelee kuongoza hata baada ya kumaliza miaka 10? Na alikuwa wapi hadi uchaguzi wa 2020 unaborongwa! Mbona hatukumsikia akizungumzia hiyo tume huru au sasa ameungana na team ya kina Polepole na wenzake kumuangushia jumba bovu rais Samia?
 
Kwa hiyo hutaki tume huru ya uchaguzi kwa sababu mama ndio yupo madarakani? Huo pia ni unafiki.
 
Mwanzilishi wa maneno mchakato na mashiko...mara nyingi alisema jambo hili lina mashiko tunalifanyia mchakato...lakini haijawahi kufanyika...swali mchakato unachukua muda gani? Miaka 5 au 10?kipindi cha mchakato tusisumbuane
 
Kwa hiyo hutaki tume huru ya uchaguzi kwa sababu mama ndio yupo madarakani? Huo pia ni unafiki.
Tume huru ya uchaguzi ni hitaji la muda mrefu kabla hata Magufuli na Samia hawajawa viongozi wakuu hoja yangu ni kwanini kauli hiyo aitoe sasa? Mbona hakuitoa alipokuwa PM au alipokuwa Swahiba wa Magufuli? Huo ndio unafiki ninaouzungumzia.
 
Back
Top Bottom