Nia anayo, ili kuridhisha wanasiasa wapinzani, yote hii ni kukwepa katiba mpya.
Usifikiri katoa maoni haya kutoka hewani, naamini baada ya serikali kubinywa, wameona solution ni kuwapa wapinzani wait kisiasa tume huru, ili wakae kimya. Waachane na suala la katiba mpya.
Kwa jicho la mbaliii, naona Mbowe akiachiwa Kwa sharti la kuachana na suala la katiba mpya Kwa kua Alisha Hongwa tume huru.
Inaeleweka, kizungumkuti kwenye katiba mpya ni Masuala ya Muungano.
Hali ni tete hivo Basi ni afadhali Tume huru kuliko Muungano kuwa dhaifu,
Ukizingatia n 1 wa Sasa akipata nafasi au sababu anaweza egemea kuleeeee.
Na ikawa ndo mwisho wa Kila kitu.