MJADALA: Kwanini pale alipo mtu mweusi hali ya uchumi huwa ni tete? Nini chanzo cha umasikini?

Acha ujinga weww
 
Uchoyo na ulafi, hata wewe ukipandishwa cheo neno lako la kwanza " nimeula", kazi huwa katika mengineo, kama ulikuwa na desturi ya kuwahi kazini sasa inakwisha, boss! Kinachofuatia ni namna ya kutengeneza michongo ya kumuibia mwajiri wako na kumpa CAG kazi ya ziada.
 
Kwanini nchi zote zenye weusi wengi duniani Ni masikini?
Africa,Jamaica,Haiti,Dominic Republic,Brazil etc.
Je watu weusi Hawana akili kama watu wengine?
Hata Marekani watu weusi wapo wengi
 
Umeongea jambo la msingi sana ,....but umasikini una jumuisha vitu vingi, mfano makazi bora, nyumba bora, huduma za afya.elimu. n.k... lishe bora. je, huyo mmasai hivi vitu vyote anavyo kwa ubora unaotakiwa?
 
Hata Afrika Kusini wako vizuri kiuchumi
 
Nadhani ni ubinafsi uliobeba ujinga.... Hatuamini katika mfumo kumuongoza kiongozi kwakua kwetu kiongozi ni mungu hakosei wala hakosolewi.
 
Mtazamo wangu, sisi watu weusi tatizo letu la kwanza ni Rushwa/Uroho/ulafi
 

Umeongea kwa level ya Individual, hebu tupe picha ya nchi mfano Kwanini Tanzania ni maskini licha ya utajiri wa rasilimali tulizonazo, kwanini Congo ni maskini licha ya utajiri wa rasilimali walionao?, huko Sierra leone, na nyingine nyingi za Kiafrika.

Hata nchi zisizokuwa Africa lakini wananchi wake ni watu weusi mfano huko Brazili n.k kwanini ni full umaskini ilihali rasilimali zipo tele?
 
Black man's reasoning capacity ipo chini kulinganisha na binadamu wengine. Sisi weusi na viongozi wetu tunaona mita moja mbele, wengine wanaona maili moja mbele.
 
Mleta mada umeleta mada nzuri sana,nakupongeza kwa ilo.
Hii mada ilipaswa itengenezewe jukwaa kubwa kabisa ili wataalamu wa mambo wajadili kwa kina kabisa (mjadala wa kitaifa)lakini kitu cha ajabu ni kwamba vituo vyetu vya habari huwa havina mada fikirishi Kama hizi,wasomi wetu hawana muda wa kujadili mada km hizi tena live ili kupata mawazo ya namna gani tunatoka hapa tulipo.
Ifike wakati tupate majibu ya ni kwanini sisi tuko ivi tulivyo shida chungumzima watu wakosa Chakula,maradhi yamekuwa kero kwa jamii.
Africa lemekua bara la kusubiri rehema za wazungu (misaada)ambayo ni mateso kwa wananchi kwani mikopo au wenyewe wanasema misaada ndio inaleta mzigo mkubwa kwa wananchi ndio maana makodi kila Kona ili serikali zipate mapato ya kwenda kulipa ayo madeni,hali hi mpaka lini tutakua watu maskini mpaka lini?
Tunahitaji mijadala km hii iwe live watu watoe mawazo Yao namna ya kuondoka na hali hii ya kuwa ombaomba (masikini)
 
Umeongea jambo la msingi sana ,....but umasikini una jumuisha vitu vingi, mfano makazi bora, nyumba bora, huduma za afya.elimu. n.k... lishe bora. je, huyo mmasai hivi vitu vyote anavyo kwa ubora unaotakiwa?
Bora kwa nani ? Kwa macho au kwa afya ?

Tuongelee makazi kidogo.., je ni afya kujifungia kwenye kuta nne bila hewa sijui dirisha la aluminium wakati ukilifungua unapata hewa half the space ?!!!

Au tuongelee kipindi kirefu watu walijiona wajanja kutumia eti bati za kisasa (Asbestos) ila kuja kugundua madhara yake kwa afya na watu walikuwa wanajifungia humo kutwa na kuchwa !!!, Don't get me wrong ubora na kuboresha ndio maisha ila sio kila kipya ni kizuri na cha zamani ni kibaya..., Mfano nyumba ya udongo ni environmental friendly na inakupa joto kwenye baridi na baridi kwenye joto kuliko nyumba ya cement...

Unaongelea lishe bora, Mmasai anakula fresh food na sio processed food ambayo imejaa makemikali na addictives za kufa mtu (junk food)..

Kwahio perception yetu ni kwamba the grass is greener kwa jirani ila kwa mtu ambaye ameishi maisha yote huku na kule atakwambia its not so...

Umasikini upo mijini, umasikini upo sasa na utaendelea kuwepo kutokana na gap in classes kuongezeka siku baada ya siku..., Umasikini unachangiwa na sio sababu kuna less for everyone (there is enough for everyone need ila sio for everyone greed)..., kwahio kutokuweza ku-manage mazingira yetu ndio kunaleta umasikini na sio sababu mtu mweusi hana akili (la hasha) sababu ni marginalization, as well as indoctrination ambayo tumeshajengewa ya kwamba nini kinafaa na nini hakifai hence kutukuza mkate zaidi ya muhogo..., cement zaidi ya udongo, bati la msausi zaidi ya msonge n.k. (wakati hivyo vyote vingeweza kuboreshwa kuendana na wakati na mazingira yetu)...,

Don't get me wrong siongelei kila cha jirani ni kibaya hivyo tusiige mazuri (bali naongelea pia kila kilicho chetu sio kwamba hakifai na kinahitaji kuboreshwa)
 
Popote penye mtu mweusi basi ni matatizo matupu...angalia kule Haiti hali ilivyo, nenda kusini mwa America alafu angalia maisha ya mtu mweusi.
Mpka leo sijajua hii rangi ina matatizo gani!
 
Watu weusi
Yaani Ngozi nyeusi bado haijastaarabika kufikia kiwango cha juu cha Ubinadamu halisi.

Ukienda kwa Wahindi weusi tatizo ni hilohilo.
Ukienda kwa Wafilipino weusi wako hivyo hivyo yaani katika hali duni.

Ukienda kwa Waarabu weusi ni hivyo hivyo.
Ukienda bala la Amerika hasa ya kusini kuna Wabrazili weusi wako hivyo hivyo.

Jamii ya Ngozi nyeusi bado haijastaarabika katika kiwango bora cha ubinadamu.

Wengi weusi wakiwa viongozi wanawaza kujilimbikizia mali na kufanya ufisadi tu.
Hata wasome vipi hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…