Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
watu weupe fursa ya kufanya mabadiliko walipewa na naniHata akipewa fursa ya kuleta mabadiriko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu weupe fursa ya kufanya mabadiliko walipewa na naniHata akipewa fursa ya kuleta mabadiriko?
Acha ujinga wewwPerception Perception....., Narudia tena kulinganisha Muafrika kijijini kwake na huyo Mmarekani...
Unaongelea huduma za afya Bora UK marekani hauna Bima (which is not affordable to many unafia Mapokezi) Muafrika kabla wanyanganyi hawajamuingilia na kumyonya na kumfanya mtumwa na kumtawala mpaka leo alikuwa na dawa zake Afya kwake haikuwa reactive bali preventive...
Maji (upatikanaji wa Mito maji yalikuwepo tena yametengwa ya mifugo, kunywa, kufulia na kuongea...
Miundombinu watu waliweza kufika from Point A kwenye uzalishaji mpaka point B, sasa huko na hio miundombinu watu bado wanatumia miaka kadhaa katika maisha yao wakiwa stuck in traffic...
Elimu (Naam elimu ya kupambana na mazingira yao walifundishwa) ugunduzi wa chuma, utengeneazaji wa vyungu n.k. mabaki mengi yanapatikana katika African Countries / Communities..., Ukiangalia hata hilo Taifa la Marekani la sasa ni taifa la wanyanganyi waliokwenda huko na kuwanyanganya red indians ambao na wao walikuwa na community zao na mpango wao kimaisha wa kujipatia basic needs zao.....
Na msemo waliotuachia duniani nadhani leo una-ring true more than yesterday.....
“When the last tree has been cut down, the last fish caught, the last river poisoned, only then will we realise that one cannot eat money,”
Uchoyo na ulafi, hata wewe ukipandishwa cheo neno lako la kwanza " nimeula", kazi huwa katika mengineo, kama ulikuwa na desturi ya kuwahi kazini sasa inakwisha, boss! Kinachofuatia ni namna ya kutengeneza michongo ya kumuibia mwajiri wako na kumpa CAG kazi ya ziada.Ndugu zangu hili ni suala tunaweza kulipatia ufumbuzi tukilijadili kwa kuangalia hali halisi ya nchi yetu na za Africa kwa ujumla.
Juzi Tanzania one alisema sisi bei yetu ni poa sana ukilinganisha na ndugu zetu wamarekani. Sidhani kama alikuwa sahihi na hakupatikana mwandishi wa kumwuliza nini hasa alimaanisha je ni ile bei ya pump pale sheli au alimaanisha tozo zilizopo katika mafuta?
Ila kikubwa hapa kwa nini nchi za Afrika haziendelei nini tatizo rasilimali zipo, watu wapo na serikali sikivu zipo lakini hali si nzuri sasa hivi vita ipo Ukraine, Ethiopia, Somalia, madagascar hali si shwari.
Wapi Serikali au nchi zetu zinakosea?
Tafadharini tusaidiane kimawazo, Makamba akipita hapa tuwe tumemwongezea kitu. Karibuni.
Hata Marekani watu weusi wapo wengiKwanini nchi zote zenye weusi wengi duniani Ni masikini?
Africa,Jamaica,Haiti,Dominic Republic,Brazil etc.
Je watu weusi Hawana akili kama watu wengine?
Umeongea jambo la msingi sana ,....but umasikini una jumuisha vitu vingi, mfano makazi bora, nyumba bora, huduma za afya.elimu. n.k... lishe bora. je, huyo mmasai hivi vitu vyote anavyo kwa ubora unaotakiwa?Mtu Mweusi ?!!!
Unamjua Mansa Kankan Mussa ??
Ukishamjua huyo na kumfuatilia rudi tena tuendelee na mjadala....
Umasikini mwingi ni Man Made na unatokana na Marginalization na unyonyaji fulani na ukiunganisha na mentality ya watu / mtu...,
Huwezi kuniambia mmasai ni masikini wakati ana chakula chake, natural AC na anayamudu mazingira alafu eti jamaa anayeishi huko New York kwenye one bedroom flat na maisha yake yote yupo kwenye cubicle 24/7 anatafuta senti ya kuweka kumuweka kwenye one bedroom flat yake ambayo hakai sana sababu muda mwingi anatumia kwenye traffic..., eti huyu ni tajiri in comparison na huyu mwingine....
It's just your perception....
Hapo kwenye kulala utakuwa unapitiliza mstari. Next time punguza kipimo hutolala[emoji23][emoji23] ugali ni chakula nnakipenda ila ukishakula tu mwili unakosa cha kufikiri zaidi ya kulala
Na huko kwa weusi ndio kumejaa umasikini, uhalifu,mauaji n.k...watu weusi tuna shida mahali.Hata Marekani watu weusi wapo wengi
Hata Afrika Kusini wako vizuri kiuchumiHapo nakupinga Afrika ni kubwa na maendeleo yanatofautiana, kuna nchi za Afrika ambazo ni middle income, mfano Botswana inazidi nchi nyingi tu Asia hata Namibia wanajitahidi pia, hivyo labda uongelee Tanzania yetu ingawaje ni kweli nchi za Afrika ni masikini lkn Kidunia ni nchi chache sana tajiri.
Nadhani ni ubinafsi uliobeba ujinga.... Hatuamini katika mfumo kumuongoza kiongozi kwakua kwetu kiongozi ni mungu hakosei wala hakosolewi.Ndugu zangu hili ni suala tunaweza kulipatia ufumbuzi tukilijadili kwa kuangalia hali halisi ya nchi yetu na za Africa kwa ujumla.
Juzi Tanzania one alisema sisi bei yetu ni poa sana ukilinganisha na ndugu zetu wamarekani. Sidhani kama alikuwa sahihi na hakupatikana mwandishi wa kumwuliza nini hasa alimaanisha je ni ile bei ya pump pale sheli au alimaanisha tozo zilizopo katika mafuta?
Ila kikubwa hapa kwa nini nchi za Afrika haziendelei nini tatizo rasilimali zipo, watu wapo na serikali sikivu zipo lakini hali si nzuri sasa hivi vita ipo Ukraine, Ethiopia, Somalia, madagascar hali si shwari.
Wapi Serikali au nchi zetu zinakosea?
Tafadharini tusaidiane kimawazo, Makamba akipita hapa tuwe tumemwongezea kitu. Karibuni.
A.S hujui aliyeshikilia uchumi ni nani?? Sasa sawa nakusema wakenye wakovizuri kwa kupima Nairobi walipoishi ma settlersHata Afrika Kusini wako vizuri kiuchumi
Wachache sana, wapo10% - 15% ya watu wote U.SHata Marekani watu weusi wapo wengi
Mtu Mweusi ?!!!
Unamjua Mansa Kankan Mussa ??
Ukishamjua huyo na kumfuatilia rudi tena tuendelee na mjadala....
Umasikini mwingi ni Man Made na unatokana na Marginalization na unyonyaji fulani na ukiunganisha na mentality ya watu / mtu...,
Huwezi kuniambia mmasai ni masikini wakati ana chakula chake, natural AC na anayamudu mazingira alafu eti jamaa anayeishi huko New York kwenye one bedroom flat na maisha yake yote yupo kwenye cubicle 24/7 anatafuta senti ya kuweka kumuweka kwenye one bedroom flat yake ambayo hakai sana sababu muda mwingi anatumia kwenye traffic..., eti huyu ni tajiri in comparison na huyu mwingine....
It's just your perception....
Black man's reasoning capacity ipo chini kulinganisha na binadamu wengine. Sisi weusi na viongozi wetu tunaona mita moja mbele, wengine wanaona maili moja mbele.Kama West's wataendelea kuongoza dunia basi jua Africa kupiga hatua haitawezekana!
Maana adui mkubwa wetu ni RUSHWA na Wala RUSHWA kubwa kubwa wanaficha hela zao ulaya na america na hawasemi kitu mpaka mshtukie!
Na RUSHWA ndio silaha kubwa waliyonayo ulaya na america katika kutuangamiza!
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Haina tofauti na ile ya Trafiki wapewe hela ya kubrashia Viatu five thousand.Chanzo cha umasikini ni viongozi wakuu wa Taifa kuwa mafisadi na kuhamasisha ufisadi kwenye Taifa👇🤡🤡🤡
View attachment 2215069
Bora kwa nani ? Kwa macho au kwa afya ?Umeongea jambo la msingi sana ,....but umasikini una jumuisha vitu vingi, mfano makazi bora, nyumba bora, huduma za afya.elimu. n.k... lishe bora. je, huyo mmasai hivi vitu vyote anavyo kwa ubora unaotakiwa?