Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Ajabu kweli kweli....Mawakili wa serikali hamna kitu kabisa, kesi ilikua wazi kabisa ila wanashindwa kuwa serious. Sijui nini ambacho wanaweza hawa watu!! Na hata wangeshinda kesi wangeenda kubwagwa kwenye rufaa.
Ila ingekuwa ni zile kesi dhidi ya wanasiasa wa Upinzani wangejitutumua kweli kweli.