Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

Mawakili wa serikali hamna kitu kabisa, kesi ilikua wazi kabisa ila wanashindwa kuwa serious. Sijui nini ambacho wanaweza hawa watu!! Na hata wangeshinda kesi wangeenda kubwagwa kwenye rufaa.
Ajabu kweli kweli....

Ila ingekuwa ni zile kesi dhidi ya wanasiasa wa Upinzani wangejitutumua kweli kweli.
 
Wakili Peter Kibatala akielezea kesi ya mjane wa Bilionea Msuya baada ya Mahakama Kuu kumwachia huru Miriam Mrita.

"Watu wa Arusha nawatania kidogo, nimewaletea dada yenu, wifi yenu na shemeji yenu, hatudaiani tena" - Peter Kibatala Wakili wa Mjane wa Bilionea Msuya.

Pia soma:
- Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haikumkuta na hatia
This is very insensitive

Tuliofiwa na ndugu tumeumia sana

NIMEMCHUKIA SANA KIBATALA

IT WILL COME BACK TO HIM
 
Mawakili wa pande zote wanaongozwa na Code of Ethics ambazo kimsingi zinamtaka Wakili aisaidie jamii na mahakama katika kutafuta haki na SIYO KUSHINDA KESI.

Kushinda kesi siyo kazi ya wakili popote duniani.

Kazi ya uwakili ni kazi yenye kuhitaji ujasiri na uwazi ndiyo maana wanavaa mavazi ya rangi nyeusi na nyeupe.

Mawakili, Majaji na Mahakimu kwa pamoja ni Maafisa wa Mahakama wenye lengo moja la kutafuta haki na siyo kushinda kesi.

Mtuhumiwa anapoachiwa, ama kufungwa, vyovyote tunasema hiyo ni haki yake na siyo ushindi wake.
Ila Wakili anatakiwa kuweka mbele maslahi ya mteja.
 
Sijakuelewa.

Ilikuwaje mkawa na mwanasheria wenu kwenye kesi ya jinai?

Iwapo mlikuwa na mwanasheria, je, mtuhumiwa alikuwa ni ndugu yako?
Nimesema wa kwetu kwa sababu ndiye alipangwa na serikali kusimamia kesi upande wa mashitaka. Siyo kwamba sisi ndio tulimwajiri! Kesi za mauaji anayepanga wakili ni serikali na mtuhumiwa naye anapewa wakili wake!
 
Kwa hyo kumbe leo mahakama zipo huru? Tofaut na mnavyo imba siku zote
Mahakama haziko huru. Mahakama kutokuwa huru haimaanishi kuwa kesi zote inapata shinikizo. Shinikizo linapokuwepo pale kunapokuwa na maslahi ya upande fulani eg watawala, au mtu mwenye fedha.
 
Ni sawa lakini yawe halali
Yawe halali namna gani? Yasingekuwa halali angeachiwa,? Sikiliza: mimi hapa naweza kuua mtu leo hii na nikahisiwa na kila mtu kuwa nimehusika. Nikipelekwa mahakamani, ni kazi ya upande wa mashtaka kuthibitisha pasipo na shaka kuwa niliua kwa kutumia ushahidi unaoaminika. Yaani ni kuwa hata nikikiri na kusema ni mimi nimeua, ni lazima kuwepo na kiunganishi kinachoonyesha bila kuacha shaka kuwa ni kweli nilihusika.
 
Unaelewa maana ya *maslahi halali?

Maslahi halali ni yale ambayo hayakinzani na Kanuni za Maadili ya Uwakili.

Hizo Kanuni unazifahamu?

Isije ikawa nijadili mambo yaliyo nje ya upeo wako hapa.
 
Mawakili wa serikali hamna kitu kabisa, kesi ilikua wazi kabisa ila wanashindwa kuwa serious. Sijui nini ambacho wanaweza hawa watu!! Na hata wangeshinda kesi wangeenda kubwagwa kwenye rufaa.
Mawakili wanaojielewa hawafanyi kazi serikalini hata Makonda alisema kwenye mikutano yake.

Wanapenda Uchawa tu na vyeo bila kujihangaisha kupata maarifa na kujiimarisha
 
Unaelewa maana ya *maslahi halali?

Maslahi halali ni yale ambayo hayakinzani na Kanuni za Maadili ya Uwakili.

Hizo Kanuni unazifahamu?

Isije ikawa nijadili mambo yaliyo nje ya upeo wako hapa.
Onyesha kwenye hii kesi ni sehemu gani maadili ya uwakili yamevunjwa na usibwabwate maneno matupu. Na usipoonyesha basi wewe una upeo mdogo kabisa.
 
Kimsingi, tuaamini kwamba Mungu ndiye mtoa haki na hutolea haki Mbinguni.

Hapa duniani kazi ya kutoa haki ni ya Mahakama ( WANASHERIA). Sasa unapokosewa halafu unadai kumwachia Mungu siyo sawa.

Mimi nindhani umuombe Mungu akupe maarifa na siyo kumuachia.
Ni kweli mkuu
 
View: https://youtu.be/3N2zkWPTrFI?feature=shared

Hii case kuna haja ya kutazama mambo kwa upana sana na tusiruhusi hisia pekee kuamua.Kuna mengi nyuma ya pazia yanaendelea

Niliona UKakasi pale nilipoona Dada wa Bilionea pamoja na wazazi wa Bilionea wana tamaa ya mali imewasumbua sana watoto wa marehemu na hapo ndipo walipobugi kijana akili ipo vema.

Wangekuwa wanafiki tu kuwa karibu na watoto wake wangekula kirahisi.

Tunaongozwa na hisia lkn Aliyetenda kitendo cha mauaji ndo anahukumiwa.
 
Hakimu wa kweli ni Mungu
kwa vipi? Mbon Mungu anawaumba masikini na tajiri ie anawapa watu vipaji tofauti wengine masikini, wengine matajiri. Wengine vilema etc etc (maana tunaambiwa kla kitu kimeumbwa na Mungu). Anawaacha waovu wanatawala dunia kama hangaya and team? Hakimu wa kweli yuko wapi?
 
Back
Top Bottom