Ndio nakuambia watanzania 70m wanapewa msaada na Sweden ya watu chini ya 10m na isiyo na raslimali kama sisi, ww huogopi?haha harusi ya Mfanyabiashara tu hapo Kariakoo
Michango week 2 Milion 700.
Chadomo
Chama pendwa bado mnakusanya michango kama ushuru wa choo cha stendi?
Chadema wana viongozi 3000 nchi nzima na bado milion 300 inawatesa😂
Yaonekana unaandika ukiwa huna reference. Issue ya kuwalipia kina Mbowe na Msigwa faini ya milioni 400 zilichangwa na watu gani kama sio hawa watanganyika wasio na kipato unaowadogosha?Watanganyika hao wanaochanga 400M wiki nzima ndio wataweza kuwa wadhamini wa Lissu?
Wengi, Siku za nyuma ilikuwa inaonekana hakuna mbadala wa Slaa. Lakini Lisu ameonekana ni zaidi ya Slaa pamoja na kukitumikia cheo chake kipya kwa kipindi cha chini ya miezi mitatu tu.
Yaonekana unaandika ukiwa huna reference. Issue ya kuwalipia kina Mbowe na Msigwa faini ya milioni 400 zilichangwa na watu gani kama sio hawa watanganyika wasio na kipato unaowadogosha?
Unastahili kudharaulika kuanzia sasa kwa kujitambulisha kuwa chawa mwandamizi!
Alikuwa ameshika bunduki siku hao watu wakiuwawa? Au waliuwawa ili kulinda kura 31m za kupika?Kweli kabisaa ndani ya miezi iyo mitatu wafuasi wa Chadema zaidi ya mia 300 wameuwawa kwa sera zake za kukinukisha AKA Savimbi wa Bongo👈
Leo michango haipatikani ❗️ wachangiaji ndio wale wameondoka na sera zake za kukinukisha🦘 ✍️
Yaonekana unaandika ukiwa huna reference. Issue ya kuwalipia kina Mbowe na Msigwa faini ya milioni 400 zilichangwa na watu gani kama sio hawa watanganyika wasio na kipato unaowadogosha?
Unastahili kudharaulika kuanzia sasa kwa kujitambulisha kuwa chawa mwandamizi!
Hapo timu yake ilikuwa pembeni?Huyo Polepole aliyejitokeza baada ya team yake kukaa pembeni?
Hapo timu yake ilikuwa pembeni?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/18xDMSmc8C/
Hapo timu yake ilikuwa pembeni?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/18xDMSmc8C/
Hakuna michango iliyogoma bali ccm wameitishia nmb na kuzuia watanganyika wasiweze kuchangia. Huo ni uoga wa mbwakoko ambaye hukalia mkia au kuufyata!Sasa wale wenye moyo wa kuchangia manake ni Wafuasi kweli kweli 👈
wenyewe wameitikia wito wa mwenyekiti wenu mpya TUNDU Savimbi kuwataka wakakinukishe
leo Michango imegoma wachangiaji hakuna yumkin wamesepa na Mo29 🦘🦘
kiongozi bora au bora
kiongozi❗️
Kwa kiwango na undani wa alivyo kuwa anaongea Polepole?Kina shabiby wa Gairo kila siku wanayasema bungeni. Tena zaidi ya Polepole.
Kwanza ndugu mbwabwajaji, maandamano siyo culture ya watanzania elewa. Hata hivyo wewe na ccm mnatumia dola kuikanyaga katiba kwa kuzuia maandamano ya amani yaliyoruhusiwa kikatiba!Tujadili kwa hoja. Ingawaje sitakuzuia kutoa maoni yako ya kiwango cha chini na wala sina tatizo na labeling utakayoamua kuifanya.
Watanzania ni jamii Maskini. Kusema wao ndio watamdhamini Lisu ikitokea anapelekwa nginja nginja kama hivi leo. Hawatakuwa na msaada wowote.
CCM kupitia serikali, wanauwezo wa kumfunga Lisu miaka nenda rudi mpaka mwisho wa uhai wake. Na Watanzania wasiweze kufanya jambo lolote kumnusuru. Sasa huo udhamini wa Watanzania unaouzungumzia ni upi?
Watanzania ambao maandamano tuu ya kushinikiza jambo fulani lifanyike wanashindwa kuandamana walau siku Tatu mfululizo. Njaa zitaanza kuwabana.
Tujitahidi tuwe realistic
Everyone is the product of his environment.Unajua Watu kama Lisu au Magufuli sio rahisi kuwapata. Hasa kwa kuwatengeneza
Hukutoa maoni bali ulikuwa unatupa assurance kwamba Lissu hawezi kuwa Raisi,ngoja nikupe story kidogo,mimi nilikuwa na kiongozi wangu fulani hivi Msenegali,miaka kama minne iliyopita tukiwa naye ofisini nikaona anashangilia sana,nikamuuliza nini akaanza kunionyesha picha iloyokuwa kwenye simu yake kwamba kiongozi wa chama cha siasa nchini kwao kafungwa jela,akanitamkia jina lake akiitwa Fae,yule kiongozi wangu alikuwa anajipiga kifua kweli kweli kwamba wamemkomesha na Fae hatakuja kuinuka tena,lakini Fae baadaye alikuja kuwa Waziri mkuu tena miaka michache tu tokea ule mwaka.Sijasema Mimi ni Mungu.
Hapa tunajadili. Alafu kutoa maoni sio kazi ya Mungu
Kwanza ndugu mbwabwajaji, maandamano siyo culture ya watanzania elewa. Hata hivyo wewe na ccm mnatumia dola kuikanyaga katiba kwa kuzuia maandamano ya amani yaliyoruhusiwa kikatiba!
Pili mmetumia dola kuizuia nmb isiendelee kupokea michango ya wazalendo wa kweli wenye mapenzi yaliyopitiliza kwa cdm pamoja na kuwaagiza mapandikizi yenu (chaumwa) kuiga tonetone ili kuipunguzia cdm wigo. Tunajua na unajua kuwa huo ni utoto!
Kuhusu kumfunga hamna ushahidi wa kutosha juu ya tuhuma mlizombambikia na mnajisumbua na kujiaibisha tu!
Wewe umejitanabaisha humu kama mshauri, washauri hao ccm wako jinsi ya kuliponya taifa na kulileta pamoja ni kutafuta vichwa vipya vyenye akili timamu viishauri ccm namna bora ya kulimaliza swala hili la kijinga la uhaini wa mtu mmoja.
Najua unatafuta majibu ya wadau ili ukaishauri ccm iendelee au ijitoe kwenye aibu ya kuangukia pua kwani siku zao zahesabika ni bado kitambo kidogo tu. Lisu ni shujaa wetu, mtamwachia tu hamna namna.
Hamjambo!
Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake.
Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu.
Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda kila mtu hujikuta akijisalimisha.
Lisu anachoshwa na kupotezewa muda huku wafuasi na wanachama wake wakiwa hawaelewi mpango wa adui ukoje.
Mbinu hii inafanya kazi zaidi pale ambapo wale wanaomdhamini Tundu Lisu wakiwa wanafuatwa na Adui za Lisu kisha mazungumzo yakiendelea huku Lisu akiwa gerezani.
Katika ugomvi wa kisiasa, hakuna mtu atamjali Lisu zaidi ya mkewe na watoto. Na bahati mbaya ilioje. Wadhamini na wazungu wanaomsapoti Tundu Lisu sio familia ya Lisu na hawachangii damu.
Kumaanisha, katika ulimwengu wa maslahi, adui za Lisu watatumia muda huo Lisu akiwa Gerezani kuwekana sawa na wadhamini wake. Huku lisu akiendelea kusota.
Hatari sana.
Samia na utawala wa CCM jiandaeni na nyie kama mnavyo fanya mateso mkitegemea dunia inawachekea.
Huko Uganda, kiongozi mkongwe wa upinzani, Kizza Besigye, anayezuiliwa jela kwa muda mrefu, alianguka siku ya Jumatano akiwa mahakamani na baadaye kulazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya.
Soma pia: Kiongozi wa upinzani Uganda, Kizza Besigye aanguka ghafla mahakamani, akakimbizwa hospitalini
Tundu Antipas Lissu ni mtu mwenye kuliko colonel (rtd) Besigye wa Uganda ambaye juzi alionekana mahakamani akionesha kuathirika na mbinu za utawala wa jenerali Yoweri Kaguta Museveni
LIVE MUBASHARA MFUMO WA HAKI JINAI ULIVYOTEKWA NA DOLA - BESIGYE AFOKA VIKALI KABLA YA KUANGUKA
29 July 2026
Kampala, Uganda
Chaotic scenes: Colonel (rtd) Dr Besigye collapses in the dock as he tried to oppose trial without his legal team
View: https://m.youtube.com/watch?v=8iy7HHG-1rgToday prosecution brought an American security expert Andrew Wilson aka Orlando as its first witness against Besigye. He (Orlando) started providing evidence to court on how Besigye contacted him seeking fire arms and other military support and guidance to overthrow gov't
Besigye ana muda gani korokoroni kwa kesi hizo za kubumba?
Ni mara yake ya kwanza Besigye kupambana na mbinu za mtawala Museveni, Tundu Lissu amepambana na tawala za CCM tangu enzi za Mkapa, Kikwete, Magufuli hadi Samia anaendelea kuwashughulikia mahakamani mfumo mbovu wa chama dola kongwe unaokuja kwa mbinu tofauti katika kila awamu.