Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Dini pia technologia kama hujui,ndio ujuwe.Wavyaa kubadhi ndio wanaongoza duniani kuwa na dini mbili kuu,na zenye wafuasi wengi.Jibu swali kijana, hao Kubaz ni superior kwenye modern technology kuwazidi westerners?? Mwenzako hili swali kalishindwa kakimbia kaja na hoja za dini ahahha
Una kumbu kumbu sana.Katoliki ilitaka Jakaya awe Rais wa awamu moja, jee liliweza ?
JPM aliwakurupusha kwny auditing ya kule Bugando hadi yule Sister aliekuwa Director wa Finance alijirusha kutoka ghorofani na kupoteza Maisha
Swali liko pale pale. Mchango wa Kubaz kufight against corona kwenye sayansi ya tiba ni upi?je ni chanjo gani na wao walikuja nayo kama walivyofanya pfizer na jj? Kama co ni ujanja ujanja wa mzungu je Kubaz waliplay role gani scientifically kuondoa tatizo??Magufuli ni msomi,ndiye aliyetushtua kuwa ile ni janja janja ya wazungu.
Dhibitisha hapa kuwa dini ni technologia na uje na relevant examples. Tuambie dini imetengeneza nn na inatumika wapi .karibu kubazDini pia technologia kama hujui,ndio ujuwe.Wavyaa kubadhi ndio wanaongoza duniani kuwa na dini mbili kuu,na zenye wafuasi wengi.
Wewe wafikiri technologia ni kutengeneza simu tu.
Pale daktari wa maradhi ya mwili,anapomtibu mgonjwa wa mwili ni technologia na daktari wa dini anapomtibu mgonjwa kiroho ni technologia.Yesu na Muhammad,wametumia technologia kwa kutibu maradhi ya roho,na kuwa na wagonjwa wengi duniani waliopona(wafuasi wao).
Dunia ni kijij sasa.Ubaguzi umebaki kwetu tu.Mhindi anaweza kuwa raisi Uiengereza na mwafrika kule Marekani.Injinia kuwa warusi ni ajira tu.Nani alikuwa rubani.Wew utakuwa una matatizo wew, juzi hapa ndege kubwa ile ya mizigo ya UAE antonov 225 ilitua kiwanja x cha ndege, injinia wote wa ile ndege walikuwa RUSSIANS ahhahahh af wew unabwata tu hapa
Umetoka mbali.Tangu waislamu na ugunduzi.Halafu ukaja kubadili teknoloji kwenye matumizi nikakuonesha mpaka DP world.Sasa unasema modern technolojy.Una nini lakini kijana. Hivyo kweli wewe una uwezo wa kutofautisha technolojy na modern technolojy.Jibu swali kijana, hao Kubaz ni superior kwenye modern technology kuwazidi westerners?? Mwenzako hili swali kalishindwa kakimbia kaja na hoja za dini ahahha
Serikali inapata hela wapi kama siyo Kwa hao hao watumia huduma hizoHakuna sababu kwa sasa, siasa na uchumi vimebadilika.
Shule madarasa mpaka yanahitaji wanafunzi. Hospitali zote za kulipia, hakuna ya bure.
Kwanini serikali iendelee kupeleka pesa za Watanzania wote kanisani?
Kama serikali ina fungu la sadaka la taasisi za kidini basi isibaguwe. MoU kwa sasa haina kazi wala faida kwa Watanzania wote..
Jibu swali kijana JE KUBAZ NI MIAMBA NA WANAONGOZA KATIKA MODERN TECHNOLOGY MBELE YA WESTERNERS???Umetoka mbali.Tangu waislamu na ugunduzi.Halafu ukaja kubadili teknoloji kwenye matumizi nikakuonesha mpaka DP world.Sasa unasema modern technolojy.Una nini lakini kijana. Hivyo kweli wewe una uwezo wa kutofautisha technolojy na modern technolojy.
Kama inawezekana Weka hiyo MoU hapa tuisomeWala hujakosea, usimwamshe aliyelala.
Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.
Nilikuuliza Tuambie technology anayotumia dp world chanzo chake ni wapi??? Tuambie zile mashine za kuoperate nani mgunduzi???. Karib KubazUmetoka mbali.Tangu waislamu na ugunduzi.Halafu ukaja kubadili teknoloji kwenye matumizi nikakuonesha mpaka DP world.Sasa unasema modern technolojy.Una nini lakini kijana. Hivyo kweli wewe una uwezo wa kutofautisha technolojy na modern technolojy.
Acha kudanģanywa,hakukuwa na corona.Rais wetu na Jemedari mkuu,Magufuli,alitushtua,kuwa hakuna corona,alichukuwa papai pia likakitwa na corona,sasa papai lilikufa?Swali liko pale pale. Mchango wa Kubaz kufight against corona kwenye sayansi ya tiba ni upi?je ni chanjo gani na wao walikuja nayo kama walivyofanya pfizer na jj? Kama co ni ujanja ujanja wa mzungu je Kubaz waliplay role gani scientifically kuondoa tatizo??
Ivi Kubaz wote wote wale kule middle east wanatumia mifumo ya ulinzi wa anga kutoka wapi??? Je zile jets ni nani mtengenezaji??Umetoka mbali.Tangu waislamu na ugunduzi.Halafu ukaja kubadili teknoloji kwenye matumizi nikakuonesha mpaka DP world.Sasa unasema modern technolojy.Una nini lakini kijana. Hivyo kweli wewe una uwezo wa kutofautisha technolojy na modern technolojy.
Kwahyo wale waliokuwa wanapoteza maisha kipindi kile mpaka lockdowns kote mpaka kwa kubaz kule walikuwa wameshiba tende na uji??Acha kudanģanywa,hakukuwa na corona.Rais wetu na Jemedari mkuu,Magufuli,alitushtua,kuwa hakuna corona,alichukuwa papai pia likakitwa na corona,sasa papai lilikufa?
Yan hakuna swali hata moja umejibu, unanipotezea muda tu. Mwisho kabsa KUBAAZ NI DHAIFU!! na kila ukitembea na mpumbavu na ww utakuwa mpumbavu na ukitekwa na mtu dhaifu wew unakuwa DHWAIFU BIN HOIAcha kudanģanywa,hakukuwa na corona.Rais wetu na Jemedari mkuu,Magufuli,alitushtua,kuwa hakuna corona,alichukuwa papai pia likakitwa na corona,sasa papai lilikufa?
Mvaa kamba ya mbuzi shingoni,Dhibitisha hapa kuwa dini ni technologia na uje na relevant examples. Tuambie dini imetengeneza nn na inatumika wapi .karibu kubaz
Hiyo kamba ya mbuzi.unayovyaa shingoni,kama sio dini,na mvyaa kubadhi Yesu,usingeijua wala kuivyaa.Jibu swali kijana JE KUBAZ NI MIAMBA NA WANAONGOZA KATIKA MODERN TECHNOLOGY MBELE YA WESTERNERS???
Huna hoja.Yan hakuna swali hata moja umejibu, unanipotezea muda tu. Mwisho kabsa KUBAAZ NI DHAIFU!! na kila ukitembea na mpumbavu na ww utakuwa mpumbavu na ukitekwa na mtu dhaifu wew unakuwa DHWAIFU BIN HOI
Sio wakristo wote wanavaa rosali wako ambao hawavaiMvaa kamba ya mbuzi shingoni,
Bila dini usingevyaa hiyo kamba ya mbuzi shingoni
Kuna ukweli hutaki kuukubali utajiri wa waarabu umepelekwa na wazungu nikamaamisha idea ya magari ya diesel na petrol ilianza western na swala la uchimbaji wa mafuta lilianzia huko marekaniHuna hoja.
Kumbe kamba ya shingoni huijui,-uliza ufahamishwe.Sio wakristo wote wanavaa rosali wako ambao hawavai