Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Dini pia technologia kama hujui,ndio ujuwe.Wavyaa kubadhi ndio wanaongoza duniani kuwa na dini mbili kuu,na zenye wafuasi wengi.Jibu swali kijana, hao Kubaz ni superior kwenye modern technology kuwazidi westerners?? Mwenzako hili swali kalishindwa kakimbia kaja na hoja za dini ahahha
Wewe wafikiri technologia ni kutengeneza simu tu.
Pale daktari wa maradhi ya mwili,anapomtibu mgonjwa wa mwili ni technologia na daktari wa dini anapomtibu mgonjwa kiroho ni technologia.Yesu na Muhammad,wametumia technologia kwa kutibu maradhi ya roho,na kuwa na wagonjwa wengi duniani waliopona(wafuasi wao).