Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Jibu swali kijana, hao Kubaz ni superior kwenye modern technology kuwazidi westerners?? Mwenzako hili swali kalishindwa kakimbia kaja na hoja za dini ahahha
Dini pia technologia kama hujui,ndio ujuwe.Wavyaa kubadhi ndio wanaongoza duniani kuwa na dini mbili kuu,na zenye wafuasi wengi.
Wewe wafikiri technologia ni kutengeneza simu tu.
Pale daktari wa maradhi ya mwili,anapomtibu mgonjwa wa mwili ni technologia na daktari wa dini anapomtibu mgonjwa kiroho ni technologia.Yesu na Muhammad,wametumia technologia kwa kutibu maradhi ya roho,na kuwa na wagonjwa wengi duniani waliopona(wafuasi wao).
 
Katoliki ilitaka Jakaya awe Rais wa awamu moja, jee liliweza ?

JPM aliwakurupusha kwny auditing ya kule Bugando hadi yule Sister aliekuwa Director wa Finance alijirusha kutoka ghorofani na kupoteza Maisha
Una kumbu kumbu sana.
 
Magufuli ni msomi,ndiye aliyetushtua kuwa ile ni janja janja ya wazungu.
Swali liko pale pale. Mchango wa Kubaz kufight against corona kwenye sayansi ya tiba ni upi?je ni chanjo gani na wao walikuja nayo kama walivyofanya pfizer na jj? Kama co ni ujanja ujanja wa mzungu je Kubaz waliplay role gani scientifically kuondoa tatizo??
 
Dini pia technologia kama hujui,ndio ujuwe.Wavyaa kubadhi ndio wanaongoza duniani kuwa na dini mbili kuu,na zenye wafuasi wengi.
Wewe wafikiri technologia ni kutengeneza simu tu.
Pale daktari wa maradhi ya mwili,anapomtibu mgonjwa wa mwili ni technologia na daktari wa dini anapomtibu mgonjwa kiroho ni technologia.Yesu na Muhammad,wametumia technologia kwa kutibu maradhi ya roho,na kuwa na wagonjwa wengi duniani waliopona(wafuasi wao).
Dhibitisha hapa kuwa dini ni technologia na uje na relevant examples. Tuambie dini imetengeneza nn na inatumika wapi .karibu kubaz
 
Wew utakuwa una matatizo wew, juzi hapa ndege kubwa ile ya mizigo ya UAE antonov 225 ilitua kiwanja x cha ndege, injinia wote wa ile ndege walikuwa RUSSIANS ahhahahh af wew unabwata tu hapa
Dunia ni kijij sasa.Ubaguzi umebaki kwetu tu.Mhindi anaweza kuwa raisi Uiengereza na mwafrika kule Marekani.Injinia kuwa warusi ni ajira tu.Nani alikuwa rubani.
 
Jibu swali kijana, hao Kubaz ni superior kwenye modern technology kuwazidi westerners?? Mwenzako hili swali kalishindwa kakimbia kaja na hoja za dini ahahha
Umetoka mbali.Tangu waislamu na ugunduzi.Halafu ukaja kubadili teknoloji kwenye matumizi nikakuonesha mpaka DP world.Sasa unasema modern technolojy.Una nini lakini kijana. Hivyo kweli wewe una uwezo wa kutofautisha technolojy na modern technolojy.
 
Hakuna sababu kwa sasa, siasa na uchumi vimebadilika.

Shule madarasa mpaka yanahitaji wanafunzi. Hospitali zote za kulipia, hakuna ya bure.

Kwanini serikali iendelee kupeleka pesa za Watanzania wote kanisani?

Kama serikali ina fungu la sadaka la taasisi za kidini basi isibaguwe. MoU kwa sasa haina kazi wala faida kwa Watanzania wote..
Serikali inapata hela wapi kama siyo Kwa hao hao watumia huduma hizo
 
Umetoka mbali.Tangu waislamu na ugunduzi.Halafu ukaja kubadili teknoloji kwenye matumizi nikakuonesha mpaka DP world.Sasa unasema modern technolojy.Una nini lakini kijana. Hivyo kweli wewe una uwezo wa kutofautisha technolojy na modern technolojy.
Jibu swali kijana JE KUBAZ NI MIAMBA NA WANAONGOZA KATIKA MODERN TECHNOLOGY MBELE YA WESTERNERS???
 
Umetoka mbali.Tangu waislamu na ugunduzi.Halafu ukaja kubadili teknoloji kwenye matumizi nikakuonesha mpaka DP world.Sasa unasema modern technolojy.Una nini lakini kijana. Hivyo kweli wewe una uwezo wa kutofautisha technolojy na modern technolojy.
Nilikuuliza Tuambie technology anayotumia dp world chanzo chake ni wapi??? Tuambie zile mashine za kuoperate nani mgunduzi???. Karib Kubaz
 
Swali liko pale pale. Mchango wa Kubaz kufight against corona kwenye sayansi ya tiba ni upi?je ni chanjo gani na wao walikuja nayo kama walivyofanya pfizer na jj? Kama co ni ujanja ujanja wa mzungu je Kubaz waliplay role gani scientifically kuondoa tatizo??
Acha kudanģanywa,hakukuwa na corona.Rais wetu na Jemedari mkuu,Magufuli,alitushtua,kuwa hakuna corona,alichukuwa papai pia likakitwa na corona,sasa papai lilikufa?
 
Umetoka mbali.Tangu waislamu na ugunduzi.Halafu ukaja kubadili teknoloji kwenye matumizi nikakuonesha mpaka DP world.Sasa unasema modern technolojy.Una nini lakini kijana. Hivyo kweli wewe una uwezo wa kutofautisha technolojy na modern technolojy.
Ivi Kubaz wote wote wale kule middle east wanatumia mifumo ya ulinzi wa anga kutoka wapi??? Je zile jets ni nani mtengenezaji??
 
Acha kudanģanywa,hakukuwa na corona.Rais wetu na Jemedari mkuu,Magufuli,alitushtua,kuwa hakuna corona,alichukuwa papai pia likakitwa na corona,sasa papai lilikufa?
Kwahyo wale waliokuwa wanapoteza maisha kipindi kile mpaka lockdowns kote mpaka kwa kubaz kule walikuwa wameshiba tende na uji??
 
Acha kudanģanywa,hakukuwa na corona.Rais wetu na Jemedari mkuu,Magufuli,alitushtua,kuwa hakuna corona,alichukuwa papai pia likakitwa na corona,sasa papai lilikufa?
Yan hakuna swali hata moja umejibu, unanipotezea muda tu. Mwisho kabsa KUBAAZ NI DHAIFU!! na kila ukitembea na mpumbavu na ww utakuwa mpumbavu na ukitekwa na mtu dhaifu wew unakuwa DHWAIFU BIN HOI
 
Dhibitisha hapa kuwa dini ni technologia na uje na relevant examples. Tuambie dini imetengeneza nn na inatumika wapi .karibu kubaz
Mvaa kamba ya mbuzi shingoni,
Bila dini usingevyaa hiyo kamba ya mbuzi shingoni
 
Yan hakuna swali hata moja umejibu, unanipotezea muda tu. Mwisho kabsa KUBAAZ NI DHAIFU!! na kila ukitembea na mpumbavu na ww utakuwa mpumbavu na ukitekwa na mtu dhaifu wew unakuwa DHWAIFU BIN HOI
Huna hoja.
 
Huna hoja.
Kuna ukweli hutaki kuukubali utajiri wa waarabu umepelekwa na wazungu nikamaamisha idea ya magari ya diesel na petrol ilianza western na swala la uchimbaji wa mafuta lilianzia huko marekani

Warabu walipelekewa ujuzi, na mitambo ya kuchimba ni ukweli uliowazi hata ukiangalia makampuni makubwa yako western china nayo imeanza kuwa na makampuni makubwa recently

Usitumie nguvu nyingi kubishana na ukweli na sio kila mwarabu ni muislamu ukienda lebanon na misri utakuta warabu wengi tu wakristo
 
Back
Top Bottom