Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

State Owned; Sawa ni Vema na Haki..., Alafu mnalalamika Bandari ibinafsishwe ?? Hivi watu mnajua hata mtachokitaka ?
 
Siku mkijua connection iliyopo baina ya serikali na religion,utashangaa. Wote wanatawala watu wa Aina moja.
Serikali inatumia punishment ya duniani kufuata wanachotaka Kama kuwalipa Kodi ili wazidi kula Raha.
Watu wa dini wanakupa ama wanakuambia punishment ya mbinguni baada ya kufa na hatimaye unakuwa mtumwa unafuata wanachotaka wao. Utalipa Kodi,michango mbalimbali ya shule na ilhali mwanao akikosa Ada kidogo anarudisha hawakenui meno.
Yaani pale kwenye dini wanakufanya uwe zezeta tu kwa kupandikiza Imani zao wanazotaka wanazotaka wao
 
Hospital zikisharudishwa iwekwe taratibu ya kwamba mtu akitaka kutibiwa lazima aoneshe cheti cha ubatizo au No. ya usharika wake.
 
Achana na billion mia. Hivi kwa akili yako timamu kabisa unaamini Serikali ingekuwa inapeleka hata billion 5 tu kwa mwaka; Bugando ingekuwa hivi ilivyo?
 

Mkuu mbona unajitoa ufahamu ,sasa unataka Serikali iwapangie TEC jinsi ya kutumia fedha ambazo wao walifanya investment ya mabilioni ya dollar kwenye shule na hospitali? Wewe umekuja kupanga kwangu nimekupa bei ya kodi ya kila mwezi then unanipa mimi mwenye jengo halafu unataka kunipangia jinsi ya kuzitumia? Hivi madrasa mlienda kusomea ujinga?
 
Udini, udini na udini. Chuki, chuki na chuki. Hapa ni hekima, hekima na hekima inahitajika. Kumbe DPW ni bomu la udini. Hivi tukiachana nalo tutakifa? Maana tukiendelea nalo tutakuwa sikio la kufa halisikii dawa. Haya endeleeni na lugha zenu za kibaguzi. Msijesema hatujawambia siye kina voice of wise!
 
Kile chuo kikuu cha kiislamu kilichopo Morogoro, lini wananchi walishirikishwa hadi wakapewa waislamu?
 
Serikali iliingia mikataba na taasisi za kidini ( Kikristu na kihindi) ambazo zilitumia sadaka za waumini wake kujenga miundo mbinu Bora ya afya . Sasa ulitaka iingie MOU na taasisi ambazo zinawekeza kwenye mitishamba ya Kisuna badala ya kujenga hospitali ili iwahudumie watu wake?
 
Mwambie rafiki yako Mvaa Kobazi Ritz kama anaona wivu awashawishi BAKATWA wajenge hospitali nyingi nao wapewe 36B.
Hospital za kigalatia ni nuksi tupu.
Ubaguzi waziwazi.
Wakiona hijab au ndevu km za Simba utaona sura zao wanavyonuna km nyani kaonja ukwaju.

Hapa lzm serikali ikate hilo fungu kwa institution ambayo itaonyesha matumizi yake wazi.
Sio kufaidisha paka wa paroko tu.
 
Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.
Kinachonifurahisha, hukuyasema haya kabla ya TAMKO. Hii maana yake, tamko limewashika pabaya.. !! Haya MKAFUNGUE KESI YA UHAINI
 
Hivi BAKWATA ina hospital yoyote yenye hadhi hata ya hospital ya wilaya au kituo cha afya?

Kanisa haliwezi kushindwa kuendesha hospitals zake hata bila ruzuku,waziondoe tu.

Kwani vyuo vikuu vya kanisa nako kuna ruzuku?

Madhehebu ya kilokole kama FPCT wana hospital ya rufaa pale Nkinga-Tabora na sina hakika kama pana ruzuku pale.

Nyie mmekalia majungu tu
 
Tatizo lipo wapi? Weka ushahidi wa unayoyasema..!! By the way, jengeni hospitali zenu nanyi muingie MOU na serikali..!! Mmekaa kuuza maeneo yenu kwa wahindi na waislamu wenzenu, badala ya maeneo hayo kuyatumia kujenga mashule na mahospitali (eg Kibasila), nyie mnapiga hela tu
 
Acha wivu ,hivi kuna fedha ya serikali inayotolewa bila kufanyiwa ukaguzi? kama unaona TEC wanafahidi waambie BAKATWA wapeleke hospital zao wachukue wao hizo 36B.

"Hospitali nyingi nzuri ni za Misheni" - Wagosi wa Kaya - Wauguzi
Sasa kumbe ulikuwa hujui kuwa hizo billion 36 hazijawahi kutolewa maelezo ya kina hata siku moja?
Kumbe una bwabwaja tu bila kujua tunacho jailing hapa.

Samaki wahedi
 
Hela gani waislamu wanapiga? Taja fungu moja tu.
Makanisa wakati wa magufuli serikali ilisema wameingiza container zaidi ya 200 kwa mwezi.
Zote hazilipiwi ushuru.
Wanadai ni vitu vya kanisa.
Kumbe container zimejaa gongo wakidai ni damu ya bwana.
Kisha wanauza kwenye maduka ya jumla ya jamaa zao.
Na pia wametamka wazi kuwa walikuwa wanaingiza silaha.
Hizo silaha siku mkizitoa zitawamaliza nyie nyie waefeso manake hakuna kiumbe muoga km mgalatia.

Sisi waislamu hatuna tamaa.
Ndio maana masheikh wetu ni maskini km sisi. Tunakula tunachotafuta wenyewe.
Sio nyie. Padri Ana shangingi la milion 400 wakati wewe mtoa fungu la kumi kwenye hizo nyanya unazouza chalinze unatembea kwa miguu.

Himaru wahedi
 
Sasa kumbe ulikuwa hujui kuwa hizo billion 36 hazijawahi kutolewa maelezo ya kina hata siku moja?
Kumbe una bwabwaja tu bila kujua tunacho jailing hapa.

Samaki wahedi

Ulienda ofisi ya CAG au TEC ukakosa maelezo ya hayo matumizi? Acha Wenge wewe Mbweha.
 

Jengeni zenu maana fedha nyingi mmewekeza kujenga madrasa tu na kuchimba visima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…