Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

 


nathing, its only brainwashing
 



sikiliza wewe,fuatilia huu mjadala vizuri,kaa chini soma na mawazo ya wenzako na uelewe kisha ndipo uje hapa tuzunguzme,hakuna mdini hapa,mimi sio mdini japo nina dini yangu inayonipa peace of mind kuifuata nayo ni uislam,kama vile unavopata wewe peace of mind kwa kuufuata ukristo,so no disrespect please,kama huna hoja ni bora ukawaacha wenye hoja wazungumze,,unapata wapi justification ya kuja kuuhusisha uislam na alqaeda,uislam na boko haram,uislam na al shabaab??unahusisha matendo ya watu na dini yao??nani kakuambia uislam unahubiri mambo hayo??so unataka kusema hao makasisi ambao ni mashoga ukristo una hubiri mambo hayo au hao na maono yao??makasisi wanaolawiti watoto ni ukristo unahubiri hivo au maono yao??

Kuhusu bakwata kuwepo ama kujitoa hiyo siyo hoja ya kuitolea macho,na kama unajustify bakwata walijitoa kwa kuwa walikuwa hawana kitu slaa kakuambia kuwa hicho ndicho kilikuwa kigezo cha kujitoa??mbona hajafafanua kwa nin bakwata walijitoa??

Na huyo mwenzako anaesema vatican ni nchi sawa tunakubali,kwanini pengo ndie awe mtu kati baina yake na sisi kwani nchi hii ni ya mfumo huo??

You have totally disqualfied yourself to discuss with big show,because the big show is great thinker and is not kihiyo like you,and never he will be..
 

hapo red, nashauri MoU ITAFSIRIWE kwa lugha ya madrasa
 
Ufafanuzi wa DR.Slaa unajitosheleza, ila kama ulishapanga kutokutaka kuelewa hutaelewa, just simple like that!!!!!!!!
 

yaan hicho ndo tunakitaka sana, tena sana. lazima tuyajue yote uliyosema pamoja na idadi ya mabusha yaliyopasuliwa zikiwemo cancer za vinywa zisababishwazo na ulaji mirungi.
 
La kuuliza ni je shule za kiislam hazikutaifishwa? Au hazikuwepo? Waarabu walichukua watumwa na pembe za ndovu wakasahau kuwekeza hapa nchini? Sasa wao walipeleka MOU ya kuomba mahakama ya kadhi au vipi? Maisha yetu tumeyaweka rehani kwenye dini?

dah! Huu ni ukweli mchungu
 

Tujaribu hii ya nje ya box kidogo, kwani Tanzania hatuwezi kujipanga na kubuni njia za kijenga uchumi na jamii yenye kujitegemea bila hizi jumuiya? Kwa miaka 50 sasa Tazania imekuwa mwanachama wa jumuiya zaidi ya dazeni moja lakini tuko pale pale kwenye umsakini mkali.

Mimi ningejikita zaidi kwenye kubuni, kujenga na kusimamia uchumi (kupitia rasiilimali zote tulizonazo) ile kuleta maendeleo ya kweli kwa raia wote 45m wa nchi hii; hilo litasababisha hao big fish na jumuiya zenyewe ndio zije kuomba kushirikiana nasi (tena kwa terms zetu) na sio kama ilivyo sasa.

Bahati mbaya tuko tegemezi kiakili, kiroho na kimwili. Lakini ni muhimu tukatoka hapa na kwenda level nyingine.
 
Great thinker, na huyo balozi wa Vatican ni mtu kati yetu na nani?
 
hivi kabla hiyo MoU kusigniwa hali ilikuaje kwa taasisi za kiislam na kikristu. Waislam walikua na shule na hospitali ngap? na wakristo ngap? tatizo kubwa kuna watu wamekalia umbea majungu na fitna katka vijiwe vya kahawa, wakati wenzao wakiendelea jenga mashule na mahospitali. Amkeni sasa na mfahamu maendeleo yenu yatakuja kwa nguvu zenu wenyewe
 

naposomaga au kusikiliza mashindano na matusi, chuki na ghadhabu kama hizi huwa nafarijika sana upeo ulionijia kujua kuwa dini ni usanii. hivi jaman mkiwasoma hawa watu wawili unaweza kukubali eti huwa wote wanasema Mungu ni mmoja na ndiye wanayemfuata kwenye hiyo kitu zao wanaita dini??!! hivi huyu mungu aliwaumba ili mje mpingane? kama kweli dini ni za mungu kwa nini dini fulani inakuwepo eneo lile tu ambalo ni mkoloni wa dini fulani ndo alolitawala hilo eneo? kwann tanga iwe uislamu na Kilimanjaro iwe Ukristo? kama ni dini ya mungu na mungu nimwenye uweza wote na alitakalo huwa kwa nini sasa asipeleke dini moja badala yake ziwe dini tofauti kiasi cha boko khram, al quida, islamic mujahidi, vita vya msalaba nk nk kuteketekeza maisha ya watu?! hivi kweli waafrika mpaka leo mnakubali kuchonganishwa kwa fikra za kikoloni..eti dini yangu uislam inayonipa peace of mind!!!!!jinga kweli, dini yakoooo au dini ya mwarabu? wewe ni mwafrika au mwarabu? tumba.u kabisa.
 
ungejiuliza kwanza wewe binafsi, watu wote wanaoongelea ama kutoa ufafanuzi kuhusu Mou ni viongozi wa Chama au ni wasemaji wa Dini au madhebu, kisha ndo ukauliza swali lako. Naona kama umekurupuka Dude.
 
Sasa waje hapa akina Sadeeq na wote wale waliokuwa wanapotosha MOU kuwa matokeo ya mfumokristo na uonevu wa serikali kwa Waislamu. Njooni hapa tuwasikie na upotoshaji wenu.

Yakheee ngoja tukale Tende na Harua, twarudi na hoja nyengine.

Sasa tunataka na huyu mnyama iwe ni marufuku asifugwe kabisa Tanzania. Kwani twajua kuwa Sirikali yapendelea Wakatoliki ndio maana na huyu yamwachia kuishi huyu mnyama Tanzania.






MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!!
 
Wawepo washauri kumi kama wewe mkuu! mabadiliko ni dhahiri!!
Mimi si mshairi ila ni Muislamu ambaye nakaa na kutafakari.Pia naamini ya kuwa njia za kwenda peponi ni nyingi na si lazima confrontation isiyo na sababu.Sasa fursa imetolewa,tujenge shule,zahanati na hospitali.Ni aibu hatuna hata hospitali moja.
Wenzetu wanatumia fursa vizuri,angalia wilaya mpya ya Kilindi baada ya kutangazwa wao wamejenga hospitali kubwa na imeshakuwa district designated hospital,je watakosa ruzuku?
Let us be realistic.
 
great thinker, na huyo balozi wa vatican ni mtu kati yetu na nani?
mwite dr slaa aje afafanue kama sio kutueleza kwanini bakwata walijitoa??

Yeye si alikuwa katibu mkuu kipindi hicho,bila shaka atakuwa anaufaham ukweli,,

1.je,ni kweli bakwata walijitoa kwa kuwa walikuwa hawana kitu na njaa kali??

2.au bakwata walionekana kama ni tishio kwa mipango mingine iliyofichikana wakatengw??

Kikubwa nilichokiona alichokisema dr slaa hapo ni yeye kutotaka kuisemea bakwata na kutotaka kujiingiza kwenye mjadala kama bakwata ni wasemaji wa uislam na waislam nchini hapa,hili bado lina ukakasi na dr slaa lazima atuweke wazi,,

siku zote kweli humfanya mtu kuwa huru zaid.
 
Watu wanalalamika juu ya MOU ambayo imewezesha makanisa kuwasaidia wananchi vizuri. Suala hapa ni hivi:
*BAKWATA walijitoa kwa nini (Kuwepo au kutokuwepo kwao kusingebadilisha chochote- they had nothing to lose)
*Waislamu hawana institution yeyote serious! Its shameful - wao wanataka mahakama ya kadhi tu na kutabiri nyota, oooh nani atakuwa raisi, oooh rais atakuwa na kipara!!!!

*Huwezi kuwa na haki kuliko wajibu. Acheni huu ujinga wa kulalamika kuonewa tuuuuuu wakati mnajua ni waongo, kuibadili hali yenu ni jitihada binafsi zitawaokoa, jengeni utamaduni wa kutafuta hekima - hasa ya kujijua nyie ni nani - badala ya kukalia uongo wa kuua na kufitini! Hakuna mtu mwenye haki kuliko mwingine. Waislamu wanapaswa kuacha mawazo ya kupewa, kusaidiwa badala yake wakajikita kwenye kutafuta maarifa ambayo ni practical - yaani Imani yenu inawasaidia kiasi gani kwenye maisha yenu ya kawaida eg. Afya,elimu,busara,hekima,maarifa.

*Suluhisheni matatizo ya BAKWATA na masheikh juu ya mali za waislamu ndio muweze kujua cha kufanya.

*Jengeni institutions ambazo zitawasaidia wananchi - sio kutaka haki ya kupindua hadi misikiti!
*Acheni kukariri kuruani (someni muielewe inasemaje)! aahh mnanichosha!
 

Ungeeleza pia dini nyingine nazo zilitaifishiwa kitu gani ungeeleweka, Hospitali ya Bugando ilijengwa mwaka 1971 kwamsaada wanaoujua wenyewe wakatoriki, serikali ikataifisha tena, wahisani wao wakagoma kuendelea ku-finance mradi huo, serikali imeichukua Bugando, uwezo wa kuiendeleza cheche, Wahisani nao wamegoma kutoa pesa zao, kwanini, serikali ya Tanzania haieleweki, hapo ulitaka kanisa lifanye nini zaidi ya kusainiana mkataba? Namna yenu ya kufikiri sometimes hua mi inaniboa kweli, ndio maana hakuna eneo lenye waislam wengi likawa na Amani walau kwa miaka 10 mfulurizo, sababu ni hii, sijui mlipewa ubongo kidogo? Sielewi kabisa.
 



VIPI UMEUMIA KUKUAMBIA YA KWAMBA MIMI UISLAM NDIYO DINI INAYONIPA PEACE OF MIND AU UNA LAKO JINGNE??
MBONA MADA IKO WAZI SANA,NAKUSHANGAA UNAKUJA PUPA KUSHAMBULIA MTU HATA HUJUI ANAKOTOKEA,HUMLISHI,HUMVISHI INAKUKWAZA NINI YEYE AKIAMINI ANACHOKIAMINI??HATA KAMA ANAABUDU NGO'MBE NI IMANI YAKE NA NI HAKI YAKE KIKATIBA,UARABU NA UAFRIKA SIJUI UZUNGU UNAKUJAJE??
USIKAE HAPA KUMJADILI MTU,JADILI HOJA ZILIZOPO MBELE YAKO
ACHA KUWA MBUMBUMBU... AU :loco::loco::loco::loco::loco:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…