Mudi follower wana akili hawana porojo kama wewe. Hivo hiyo ni aibu kubwa kuliko kiongozi kama DR Slaa kuthubutu kuja kutetea ufisadi huu wa MoU?
Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:
The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi
The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.
Tatizo lako hapa ni lugha iliyotumika kwasababu sio tu ni ya kiengereza bali ni ya kisheria ambayo kama wewe si mwanasheria na ukijifanya unaelewa basi utakuwa mbishi tu maana nijuavyo mimi wanasheria hufundushwa tafsiri ya sheria.
unajua kuujua ukweli na baadae kuupindisha ni ujinga uliopitiliza au uliosomewa. Bora kutojua angalau ungeeleweshwa.
Ni waislamu wangapi walisoma kwenye shule za wakristo zilizobinafsishwa?.
Maisha ya waislamu wangapi yaliokolewa kwenye hospitali za wakristo.
Je selikali ilitaifisha shule zile kwa manufaa ya upande gani? Kumbuka nchi yenu ni ya ujamaa na kujitegemea ila inaishi kwa kutegemea misaada.
Selikali ikitakiwa ilipe garama zote za kutumia majengo ya wakristo(KUYAKODI), kugharamia ukarabati yawe kama yalivyokuwa awali ndipo wayakabidhi unadhani itakuwaje?
Uislamu ni dini inayoamini katika kweli na haki. Tusitake kulinganisha huduma za jamii nzima na mahakama ya kadhi.
Maakama ya kadhi ni sawa na mabalaza ya usuluhishi yaliyopo kwenye kila kanisa. Selikali ikijiingiza huko italazimika kujiingiza kwenye kuhudumia hadi mabalaza yote ya usuluhishi hadi ya kijadi