Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Jinsi Magufuli anvyo busu pete ya Pengo na aliyotokea seminari kama rafiki yake mpya Slaa ni habari ya Kufikirika kudhani atathubutu kuligusa kanisa dola
ni upuuzi mkubwa kudhani kuwa kanisa katoliki linaweza kumsaliti kwa muktadha huu huu kwa hiyi vibaraka na wahuni waachana na mipango yao.
 
Kingine umejisafisha kwamba umetoka kwenye familia ya imani mbili,hiyo mijadala ya MOU miaka hiyo ya 2010 sogea mpaka hapa 2014 ulikuwa una-comment shit sana kuhusu Kanisa Catholic sasa sijui umesahau hili?unajulikana upo upande gani wenye akili hautusumbui mzee!
 
nimejinasibu kama ninatokea kwenye imani tatu sio mbili...katika hiyo mijadala ya awali sijawahi kucomment shit kama unavyosema nilicomment ukweli tu na kama unaweza kuscreen shot fanya hivyo.
 
kwanza pamoja na ujinga wako tambua kuwa haiwezekani. wewe na huyo punguani wako hamuwezi. unafikiri kila kanisa ni full gosp la kakobe? kwa taarifa yako hata huyo MAGUFULI kawa raisi kwa influence ya roma. kwa taarifa yako hata mkapa ni enfluence ya roma. na nyerere ndio alikuwa kwa enfluence ya roma. unajua mali wanazomiliki waroma hapa Tanzania wewe? unajua zilipo? walizipataje? fuatilia watu wa ardh halmashauri nyingi ni dhebu gani? ivi unajua hata rula za kanisa zinatokea roma?
we endleleza ujinga wako wa kujidai we mzalendo kuliko wote hata kushabikia ushuzi wa wakubwa zako ila roma ni habari nyingine.nyie saizi yenu ni lakobe na gwajima basi hao wengine hata ungetoka ukoo wenye mchanganyiko kama wanachama wa ccm hayawezekana
 
ni kweli kuwa mimi ninaonekana kama ni mwanaCCM humi jamvini.
Mada yangu inaobesha kuwa nimewanywesha sifongo baraza la maaskofu katoliki.
Napenda nikwambie kuwa Serikali inafanya kazi yake bila kujali dini au kabila au itikadi yoyote ...hivyo dini au itikadu yoyote itakapiamua kujiingiza kwenye siasa ni lazina ianticipate a reaction.
mimi kama mwanaccm kindakindaki ndani ya JF nimewapa challange baraza la maaskofu na waliowatuma!!
 
kama ulisoma historia kidogo japo yawezekana hujafaulu au uligelezea mitihani yako. utajua namna ambovyo hakuna tofauti kati ya dini na siasa? wakati wa kampeni mnaomba dua mpaka makanisani leo mnataka wakae kimya? baada ya ibada mnaomba muombewe kwa kazi ngumu sijui mnaumba watu lakini hamuoni kuwa hapo mnachanganya dini na siasa hamuoni. kuna mpaka viongozi wa serikali walifukuziwa mazabahuni wewe huoni hayo kuwa ni kuchanganya dini na siasa? mkuu wa nchi anapoka kipaza sauti na kuhutubu akiwa kanisani we huoni huko ni kuchanganya dini na siasa. kwenye mikutano ya siasa mnaomba mashehe na mapadri waombe ili iweje.
wewe jamaa wewe
 
Serikali kufaidika au kutofaidika na MoU ni swala la utafiti au majadiliano sio mbwembwe zako kama mwanaJF.
Sijaona sehemu yoyote Serikali ikotishia katika suala hili bali Serikali hutenda yale yote yaliyo mema..Serikali inapima sana yote inayoyasema na kutekeleza labda uniambia baadhi ya mabazazi waliopo kwenye mwamvuli wa dini ndio wanasema au kutenda bila kufikiri.ninachokiona ni kuwa baadhi ya mafisadi waliopo kwenye taasisi za dini ndio wanaojaribu kutoa matamko bila kujua matokeo ya matamko yao ...bahati nzuri sisi lama waumini tunaweza kuwakumbusha kuwa wanapotoka na kwamba wao sio Alpha na Omega.
Serikali hii iliingizwa na wananchi kwa imani zao tofauti tofauti na hivyo haiwezi kutishwa au kuagizwa au kuelekezwa na taasisi yoyote nje yamaslahi ya wananchi.
 
wananchi ndio wanaoomba na kutaka review ya MoU kabla ya kuongelea katiba mpya
 
kama unalijua hilo basi utajua mpuuzi aliyeleta tamko la maaskofu ni nani!
by the way Tanzania ya leo sio aTanzania ya Roma!
 

No mkuu nyie chamadola ndo mnaoruka ruka hili suala wala halina haja ya malumbano,nimekwambia kitu simple tu.serikali mnayo nyie,mkataba uliingiwa kati ya seekali na kanisa naamini nyaraka zipo na wabunge nyie ndiyo mpo wengi upelekeni huo mkataba bungeni mkaujadili kisha muuvunje then tutaona atakaeumia,hayupo wa kuumia basi tutakuwa tumeshalipatia ufumbuzi hili suala.ila hakuna siku chama au kikundi cha watu kitakaa kiwatishe hao niliowataja hapo juu na wataendelea kuwaambia ukweli no matter what.na mkumbuke kadiri wanavyosema ndivyo wanavyozidi kuwafungua masikio na macho wale wanaowasikiliza.
 
kama unalijua hilo basi utajua mpuuzi aliyeleta tamko la maaskofu ni nani!
by the way Tanzania ya leo sio aTanzania ya Roma!
ni Tanzania ya nini? mana tuliambiwa ya viwanda matokeo yake tunaona kiwanda cha sayona kinafungua tawi mwanza na raisi anaambiwa ni kiwanda kipyaaaa
 
wananchi ndio wanaoomba na kutaka review ya MoU kabla ya kuongelea katiba mpya
hhao wananchi wewe ulikutana nao wapi? wakiwa wangapi? uliwadodosa maswali gani wangapi.walisema ndio na wangapi walisema hapana? ilikuaje hadi uhoji leo? nk
 
Hili siyo ombi bali ni tamko kuelekezwa serikali ya Tanzania kuhusu MoU ya serikali na kanisa.

Tunaitaka serikali ifute MoU hiyo na fedha zinazopelekwa kanisani zielekezwe kwengine.

Kwa sasa Tanzania ilipofikia hakuna sababu ya kubaki na kutimiza yaliyomo kwenye MoU hiyo. Ikiwa huduma za afya, hakuna hospitali isiyotoza pesa kwa huduma hizo. Kwa hiyo serikali haina tena sababu ya kuelekeza pesa hospitali za kanisani.

Ikiwa ni elimu, Tanzania imetangaza elimu bure kwa wote mpakamwanafunzi anapofikia kiwango cha elimu kwa kukopeshwa. Na hapa hakuna tena sababu ya serikali kuelekeza pesa kwa watoa elimu wa kanisa.

Soma zaidi:

- MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

- Kweli huo mkataba kati ya serikali na mashirika ya dini hauna ukomo wakati wenyewe wanatoza pesa raia kwenye hizo hospitali na shule zao?
 
Si bure una matatizo kikongwe wewe MoU na nyie si muingie kwenye makubaliano.Chuki bure hazisaidii
Hakuna sababu kwa sasa, siasa na uchumi vimebadilika.

Shule madarasa mpaka yanahitaji wanafunzi. Hospitali zote za kulipia, hakuna ya bure.

Kwanini serikali iendelee kupeleka pesa za Watanzania wote kanisani?

Kama serikali ina fungu la sadaka la taasisi za kidini basi isibaguwe. MoU kwa sasa haina kazi wala faida kwa Watanzania wote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…