Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,324
Mbonakule agah khan hausemi pia huko kuna hiyo MoU,
lkn MKUUWA NCHI aliliweka sawa hili jambo BARUBARU,
anywayLet assume kuwa leo hii inatokea tunakuwa na Rais kichaa (ALIYEPO SAS SIOKICHAA) anafanya maamuzi ya kiuendawazimu kwa kufuta hiyo ruzuku ktk taasisihizo, jiulizemwenyewe hali yake itakuwaje? The answer is simple nchi itapatakiharusi. Huwa nashindwa kuelewa hivi BARUBARU ile MoU ingesainiwa wakati RAISakiwa mkristo sijui ungesema nini, in my view ungetoa laana zote za dini yakokumlaani huyo Rais.
Ok, hayayamekuja kisa taasisi za Kiislam hazina hata hospital moja, na kama zipo basinitajie moja tu au hata Chuo Kikuu ambacho kimejengwa kwa nguvu za Muslims tuhapa Bongo yenye kiwango cha kupata ruzuku. Sisi tunaoishi huku vijijini hizihospital za dini ndizo zinazotusaidia, tunawashukuru waliojenga miradi hii. Leohii makanisa yameanza kufua umeme, WAISLAM WASOMI MKO WAPI KUSAIDIA, sana sanatunaona wengine mnawashawishi wasifanye mitihani, mara kanisa linatuonea.
PleaseBARUBARU ondoka kwenye hicho kichaka kitakuwakia moto, acha kufikiri hovyohovyo
Toka lini Aga khan ikawa na madaktari wanaolipwa na Serikali? Je unaweza kutujuza maanayake ni geni kwangu.
Unaosikia madaktari waliogoma kutoka KCMC na Bugando ni wale walioajiriwa na Serikali na wanalipwa na serikali japo wanafanya kazi hospital za kanisa.
naomba ufafanuzi wako kuhusu Aga khan