Yaani hapo ndio kanichosha kabisa nimeona napoteza nguvu zangu na muda wangu bure. Sio kwa kujitoa akili hukuKweli upo serious unajumisha mapinduzi cup kwenye mashindano? usha wahi ona mashindano mchezaji anaweza cheza bila kusajiliwa? naomba unitajie qualifications za kucheza mapinduzi, upgrade your IQ please
Na kwa sababu hizo ndio maana hadi kesho Simba/Yanga hawana kombe la CAF hata la kunywea maji.Sikupingi ila hiyo ni jeuri ya mtu ambaye ndiyo ameijua pesa jana. Yanga kwa ukaribu wake na CCM haina historia ya kuitunishia kifua Serikali. Kama Simba waliweza kufanya hivyo bila shida sioni Yanga atashindwaje.
Liverpool...majogoo wa AnfieldHivi Ulaya ni shabiki wa timu gani?
Atanikutia wapi hahahahAsipokuelewa na hapa mchape kibao.
Ni kweli wagumu kuelewa au mnafanya makusudi? Mnasema Sportpesa hana kauli kwenye mashindano ya kimataifa, mlivyocheza na Al Hilal na African Club hayakuwa mashindano ya kimataifa yale?Kama wanahusika kwanini walipendekeza timu ivae visit Tanzania? Kwanini wasingekomalia timu ivae hiyo hiyo sportpesa kifuani?
Ndiyo nchi yetu pendwa ya Tanzania. Kuziheshimu na kuzitukuza mamlaka ni jadi yetu kwa hiyo jeuri hiyo siitegemei kuiona kutoka kwa Yanga. Dewji alivyopotea uliona hata sisimizi ameingia mtaani kumtafuta?Na kwa sababu hizo ndio maana hadi kesho Simba/Yanga hawana kombe la CAF hata la kunywea maji.
Mambo ya kuingiza ccm kwenye mpira wetu ndio kudumaa kunakuja.
Hamna fidia hapo,sportspesa wawaombe caf wakae kifuani sio kuipangia Yanga ivae visit TanzaniaGsm anapesa ya kuokota. Fidia sio ishu kubwa kwake. Atalipa.
Wachezaji kutosajiliwa ndio inapoteza maana ya mashindano?Kweli upo serious unajumisha mapinduzi cup kwenye mashindano? usha wahi ona mashindano mchezaji anaweza cheza bila kusajiliwa? naomba unitajie qualifications za kucheza mapinduzi, upgrade your IQ please
Ungejibu kwanza swali nililokuuliza? Ndipo uulize swali lako ujibiweNi kweli wagumu kuelewa au mnafanya makusudi? Mnasema Sportpesa hana kauli kwenye mashindano ya kimataifa, mlivyocheza na Al Hilal na African Club hayakuwa mashindano ya kimataifa yale?
Mnaona afadhali kuendeleza ubishi usio na maana kuliko kukubali ukweli ulio mbele yenu.
Hata ingekuwa visit Tanzania si bado nayo ingeathiri maana Kuna watu hawaamini mambo ya betting walikuwa wametengwaSijajua unauelewa gani kwenye masuala ya masoko ila kwa uchache, uuzwaji wa jezi mpya zenye udhamini wa kampuni mpya unaweza kuathiri uvaaji wa jezi zenye nembo ya sportpesa mtaani. Wanunuzi na wavaaji wa jezi ni wale wale. Hilo ni moja tu.
Chadema hapo watanunua sanaNa vilevile kawapa jezi ya blue watokane na ile adhma ya kuvaa nguo za njano au kijani
Bonus ni kitu kidogo sana kwenye biashara au mkataba
Ni kitu ambacho kinatolewa kwa mapenzi kama motisha kuku encourage ili ufanye vizuri au hufanywa hivyo kama kivutio wengine waweze kuingia deal na hiyo kampuni
Bonus sio kitu cha lazima
Kwa upande mwingine ni kwamba SportPesa waliweza kusaini deal la mkataba na Yanga bila kuweka hizo bonus na bado wangeendelea kuhesabika kama wadhamini wakuu.
Na ndio maana ukiangalia katika mkataba waliokubaliana SportPesa na Yanga ilihusisha bonus ya ligi kuu na ASF, lakini hakukuwa na makubaliano yeyote ya maswala ya bonus kwenye mapinzduzi cup and still Yanga walivaa jezi yenye nembo ya SportPesa
Hiyo ni kwasababu
portPesa kanunua jezi, haijalishi ni mashindano gani Yanga anacheza lazima logo ya SportPesa iwekwe kiifuani, vinginevyo ni mpaka SportPesa mwenyewe aridhie
Mkuu hivi unaelewa kwanini walitumia jezi za Sportpesa kwenye preliminary stage na sasa hawawezi kutumia?Ni kweli wagumu kuelewa au mnafanya makusudi? Mnasema Sportpesa hana kauli kwenye mashindano ya kimataifa, mlivyocheza na Al Hilal na African Club hayakuwa mashindano ya kimataifa yale?
Mnaona afadhali kuendeleza ubishi usio na maana kuliko kukubali ukweli ulio mbele yenu.
1 Kwanza hilo swala la kubadili username utakuwa una nongwa zako tu. Tofautisha ubishi na ufafanuziWewe itakuwa umebadili username. Kuna jamaa anaongeaga kama wewe ni mbishi kama shida zangu.
Kuna mnaosema Sportpesa hana mamlaka na Yanga kwenye mashindano ya CAF, mnakumbushwa mbona Yanga alikuwa wanavaa nembo yao kwenye hatua za awali, unarudi kuongelea sheria za hatua za makundi kama vile hakuna anayejua kuhusu sheria za CAF. Swali ni kama Sportpesa hausiki mashindano ya kimataifa kwenye mkataba na Yanga, mbona walivaa nembo yao hapo kabla?
Acha ubishi dogo.
Mwenzio kaandika kampuni gani na wewe unaandika kampuni gani? Unavoambiwa pikipiki boxer ni Mo unazani anazalisha yeye? Dealer wa boxer tz nzima ni MoDuuh Ina maana hujui kuwa Hair na GSM ni kampuni mbili tofauti?
Hair ilishawahi kutaka kuweka mzigo man u lakini Dili liligoma tu sasa unaposema ni GSM hapo unakua unakosea
Huna uelewa wowote na hilo ulisemalo.Wewe itakuwa umebadili username. Kuna jamaa anaongeaga kama wewe ni mbishi kama shida zangu.
Kuna mnaosema Sportpesa hana mamlaka na Yanga kwenye mashindano ya CAF, mnakumbushwa mbona Yanga alikuwa wanavaa nembo yao kwenye hatua za awali, unarudi kuongelea sheria za hatua za makundi kama vile hakuna anayejua kuhusu sheria za CAF. Swali ni kama Sportpesa hausiki mashindano ya kimataifa kwenye mkataba na Yanga, mbona walivaa nembo yao hapo kabla?
Acha ubishi dogo.
Vipi mapinduzi kapu?NBC premier league na Azam Federation cup