Mke hataki ndugu zako, utafanyaje?




Umenena vyema kabisa.

Tena points zako ni nyeti sana.
 
Aachie mbususu kirahisi hivyo? [emoji44]

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app



Mbususu zipo nyingi tu huko nje!

Wanawake ukiolewa usijione wewe hatima ya huyo Mwanaume iko mikononi mwako.!

K zipogo nje huko tena nzuri tu.

Mke unatakiwa kuwa na mambo ya ziada mbali na sex.

Unaona jambo mumeo linataka kumuelemea unatakiwa kumsikiliza tufanyeje?

Badala yake unamtishia kuondoka? [emoji15]

Je tukisema kuwa nia ya kuondoka alishakuwa nayo kabla ya hali hiyo isipokuwa anatafuta sababu ya mtoto aondoke! [emoji848]
 
Mkuu huwa ni kushikwa masikio au ni mazoea tuu?

Maana huwa mtu anafikiri mke akisepa ataanza mtihani wa kukimbizana na wanawake mabarabarani, dhiki ambayo humpata mfuga kuku kienyeji akitaka kuchinja, lazima akimbie riadha!

Lakini maisha ya mke kuchukia ndugu zako wakati uwezo wa kuwatunza upo, inabidi mwanaume ujitathimini.
 
Nimeshauri wapi amfukuze mwanamke?
Nimemshauri asiruhusu wala kuintertain ubinafsi katika familia, kufanya hivyo ndio maana halisi ya kua kichwa cha familia.
 
Teh teh [emoji38][emoji38][emoji38]! Hili la jamaa kulazwa kwenye banda la kuku, waalah umebonyeza sana.
 
Nilihisi tu huyo mwanamke kama kwao suo mafukara basi ashawahi pitia sosono ya akili...

Watu wenye tabia za chuki huwa na chanzo kutokea kwenye makuzi au maisha ya awali...
Sasa mtu aliepitia mazingira hayo anasaidikaje kuondokana na hiyo roho mbaya ya ubaguzi.
 
Huyo mtoto arudishwe kwa wazazi wake na huyo mwanamke siku ndugu zake wakikanyaga kwake awa timue mara moja bila kupepesa macho.
Loh! Ushauri wa hivi ukifuatwa waweza kuichana ndoa vipande viwili.

Ndoa inaunganisha ndugu wa pande mbili, sasa mkianza fukuza fukuza ya namna hiyo, mnakuwa mmejitengenezea kisiwa.

Ndugu hawatawasogelea kweli, lakini ndugu hao haao uelewe wana umuhimu wake katika maisha yetu, maana huwa hatuelewi kesho yetu itakuwaje.

Ninadhani busara tupu ni lazima ichukue mkondo kwa masuala kama haya.
 
Akaishi wapi sasa? kama kila ndugu akidai mtoto anaingilia utaratibu katika familia atakayo kwenda , kwani hiyo ndoa itavunjika vipi kama huyo mtoto akiendelea kuishi hapo kama siyo roho mbaya ya mwanamke tu
 
kila siku huwa nasema usimpe mkeo status ya kufikia kutaka kubishana na wewe kwenye maamuzi ya kuume yani hicho ndicho kinachowapa kiburi .yani ukiwa na maduka kumi mpe moja tu .wanawake wote wanakasumba ya kutaka kushindana na wanaume walio katika status moja.
 
Gharama kwangu?๐Ÿ™„๐Ÿ™„
Hebu kwanza....nitarudi
 
Ni roho mbaya angekuwa mtoto wa dadayake angesema hamtaki na je yeye anajua keshoyake ataishije na nani atamsaidia
Wema ni akiba
 
Akaishi wapi sasa? kama kila ndugu akidai mtoto anaingilia utaratibu katika familia atakayo kwenda , kwani hiyo ndoa itavunjika vipi kama huyo mtoto akiendelea kuishi hapo kama siyo roho mbaya ya mwanamke tu
Wazazi wake si wapo? Au mimi sijasoma vizuri...yan kupoteza kaz tu ndo uanze kupeleka watoto wa ndugu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mke wa jamaa ana roho mbaya yeye akifariki watoto wake watalelewa na nani
 
ni sahihi kabisa,hapo anakula tu angekuwa anamlipia ada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ