Mke wa Jirani yangu ananipa chakula kila apikapo

Anajua kupika??? kama hajui majangaaa 😁 😁 😁 😁 ,i agree na huyo aliyesema umlipe kila akikuletea chakula,hata mumewe hata mind akigundua atajua huna evil intention, other solution ni kumleta mdada hapo for few days....akimuona mwenzie anakarangiza misosi ata back off, ingawa kama ni king'ang'anizi bado ni tatizo, mwisho unaweza ku man up weka uso wa mbuzi mwambie huhitaji chakula chake, akichukia si basi kwani anakulipia kodi ?!
 
Kifo chako kimekufuata nyumbani sasa
 
We endelea tu kula jasho la mwanaume anayesoma kumtafutia mkewe chakula. Ipo siku hayo mayai hapo kwako yatageuka kuwa kilainishi kwenye kalio lako.
 
Achana na huo utaratibu bro!,unatafuta shida,mumewe akigundua,unaweza ukala ngeta,chakula kimenunuliwa na kupikwa kwa gharama za mwanaume mwenzio,we unafakamia tu,bro!
Tumia akili ya kuzaliwa kidogo,unaweza kupoteza maisha.
 
Wanaume mliooa hakikisheni mnawafikisha wake zenu kileleni...

Hapo huyo mwanamke anaonekana mumewe hamkuni ipasavyo....

Sasa mwanamke wa watu anatafuta mahali pa kupunguza naniliu[emoji23]
Kwahiyo na mwanamme anapochepuka anakuwa haridhishwi na mke wake?
 
Nakataaje nisim'boe mpishi?
Ww nawe ushaelekeza auko juu namna ya kumwambia unatafuta visababu
Km unaogopa kumwambia live mwambie ht kwa simu

Ila kuna wanawake changamoto kila siku umpe mtu chakula amelua mtoto am ndo upendo
 
Upendo tu acha ujinga wa kuwaza ngono.
 
samahani mkuu, huyo mke wa jirani yako tako analo?
 
Limbwata, hii kitu unaijua wewe? Hufanywa kupitia chakula na humfunga mwanaume kama mbuzi asijitambue wala kujielewa. Kuwa makini.

utakachokuja kufanyiwa na bwanake pia ulete mrejesho. vijana mnajionaga wajanja sana sometimes

Mtumie mume wake ujumbe huu kila ukishashiba.

" Asante kwa chakula"


Kama ni bachelor unashinda nyumbani Kwa nini?
Tafuta shughuli ili urudi nyumbani ushakula na usiku Sana

Uwe unarudi Mida ya mumewe ...
Tatizo litaisha

Anakuonea huruma unavyoshindia mayai mayai, subiri akugongee veve.


mkwere alisema 'ukitaka kula lazima na wewe uliwe'
 
utakachokuja kufanyiwa na bwanake pia ulete mrejesho. vijana mnajionaga wajanja sana sometimes
Mbona unamuonea huyu mwamba[emoji848] ni mke wa jirani ndie anayepeleka mapochopocho Sasa kosa lake lipo wap?

Wacha wivu mkuu au kama ni mkeo mkataze.
 
Mshukuru kwa huduma ila mwambie kuwa siku hizi nawe unajipikia sana tu, au huwa unanunua vyakula, hivyo unaogopa kumwaga chakula chako.. kama ana akili ataacha
Mke wa mtu anayepeleka chakula kwa jirani bila kuombwa atakuaje na akili. Hapo wamekutana, ni suala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…