Vijana mnao oa katika zama hizi za .com kuweni makini sana, waolewaji wamegeuza ndoa kuwa miradi ya kupigia pesa na kuchuma mali.
walipopewa haki ya kumiliki mali ndipo mambo yote yalipoanzia kuharibika.Eti amiliki mali ya baba yake, na kwa kila mme atakakokwenda basi apate mgao wa mali. Kwa hiyo akizunguka wanaume 10 na akapata mgao wa mali toka wanaume 10, si tayari ni tajiri. Akimaliza mzunguko anarudi kwa baba nako anapata mgao na kutulia.
Hizo haki zisizo na kikomo ni shida
 
Basi basi usimalizie kusoma ...[emoji848]
 
Yaani Mwanamke kiazi mbatata kweli ilibidi ajue mkakati wa Mumewe kabla 🤷🏼‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…