Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Ana roho nzuri kwa sababu hajawanyima wanae mali bali amezitunza ziwafae baadaye.Jamaa ana roho ya ubinafsi mtu kakuzalia watoto wawili kwa nini mali andike za Mama yake😬😬
Mke anadai talaka ili wagawsne mali. Hana habari na hisia za wanae