MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Samahani sijui emeelewa nilicho comment?? Hata awe mama, dada, shangazi, uncletc. Akiwa na akili kama za huyo mwanamke mjinga bado nitaendelea kuwaweka kwenye kundi moja.Weka akiba ya maneno,una dada wewe,shangazi,mama zako.je mama yako asingeolewa wewe ungezaliwa???
Gold digger wako chap Sana kuiwahi fursa[emoji4]Halafu mwanamitindo,ni dhahiri yeye ndo alimtongoza Hakimi.
[emoji38]Hakuna kitu inauma kwenye mchezo wa last card kama huna kadi ya kucheza halafu jamaa mmoja anayefuta kucheza anaimba two cards,halafu wewe unaramba joker,dah idauba sana 😀
😀
Na yeye kwann adai mgao wa Mali na anajua Kuna watoto, wanahitaji matunzo na kulelewa[emoji4]Jamaa ana roho ya ubinafsi mtu kakuzalia watoto wawili kwa nini mali andike za Mama yake[emoji51][emoji51]
Kwan wee ulitakaje?[emoji1]Jamaa ana roho ya ubinafsi mtu kakuzalia watoto wawili kwa nini mali andike za Mama yake[emoji51][emoji51]
Mwamba bongo la defenda[emoji38]Jamaa kumbe anajua kukaba hadi nje ya uwanja [emoji3]
Imesemekana ashraf ana madeni,Hapo atakua anadai child support tu ya watoto wao wawili na hapo kwa kua Ashraf hana mali itabidi wagawane pasu kwa pasu kwenye matunzo
Check njaa hiziKwaiyo hta child support hatoi?
Hii sijawahi kuisikiaTanasha alienda mahakamani kudai nusu ya mali, akakuta Mondi hana kitu aise, mali zote za mama yake, hii mbinu kali sana, tuanze kuitumia
Ha ha ha......wanwake wataanza kumuogoa ashraf[emoji1]Wanawake kuleni chuma hicho [emoji23]
Unatafuta ugomvi na WANAWAKE Wewe[emoji38]Wagawane za mkewe sasa nusu kwa nusu maan mali za mke zimezidi za mume [emoji23][emoji23]
Kuna thread uliileta huku desemba unasema sijui umejifunza nn kutoka kwa mke wa mtu umesahau mkuuuYupi huyo?
Ndo usikie sasaHii sijawahi kuisikia
Mbona ujawaza Mwanamke akidondoka watoto watalelewa na Nani?[emoji4]Vipi ukidondoka wanao watalelewa na nani??
Kapuku anatoa wapi child support? [emoji1]Kwaiyo hta child support hatoi?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo Mama nae anashindwa hata kumstua Mwanamke mwenzie dah kweli adui wa Mwanamke ni Mwanamke mwenzie[emoji16]
Kale ka familia nuksi Sana,Na kale ka familia ka Kardashian Ipo siku wataotewa tu wamesha dhulumu sana Mali za wanaume juzijuzi tu Kanye alikua victim, Ipo siku watapata mjanja wao.
Haha kwa kweliMimi ni mwanamke lakini mwamba kanifurahisha sana. Nimefurahi mpaka sijui nimsifie vipi. Sio kwamba nina wivu au roho mbaya kwa mwanamke mwenzangu ila Tumezidi.