Inamaana miaka yote Mwanamke hajawai ona documents za Mali zao!!? Just anaibuka tu kudai bila evidence!!?Kwanza mdogo wetu alioa lishangazi. 24 kwa 36? Aah weee.. bora apaye size yake[emoji23][emoji23]
Nimefurahi zaidi hiyo kesi ya kustage ya raping imebuma. Sisi wanawake ni sweet evils i swear... sijui shogake saa hizi anaiweka wapi sura yake
Akina ashraf sio wajinga washajipanga kila kitu na mwanasheria hawajakirupuka washaona loophole,,mbona unampigania Sana huyo golddigger upo na wew kwenye mgao?Kumbuka hela amepata sheria ya spain au paris ....sio za morroco.....Ile transfer fund wana trace bibi anaitwa court aseme anapata wapi cash flow atasema kutoka mwanae ambae anafanya kazi ulaya .....kesi bado mbichi
Kumbuka hela amepata sheria ya spain au paris ....sio za morroco.....Ile transfer fund wana trace bibi anaitwa court aseme anapata wapi cash flow atasema kutoka mwanae ambae anafanya kazi ulaya .....kesi bado mbichi
Itakuwa gold digger wewe, huyo Ashraf hadi kufanya hivyo alipata ushauri wa wanasheria hakukurupuka, umeambiwa 80% ya mshahara wa hakimi ndioa unaenda kwa maza na sababu kazitoa kuwa analipa fadhila kwa bi mkubwa, haiwezekani mimi nitusue maisha halafu nikununulie nyumba wewe mchuzi wangu tena tuandike jina lako halafu siku ya siku ionekane nyumba ni yanguKumbuka hela amepata sheria ya spain au paris ....sio za morroco.....Ile transfer fund wana trace bibi anaitwa court aseme anapata wapi cash flow atasema kutoka mwanae ambae anafanya kazi ulaya .....kesi bado mbichi
Mama analipa Kodi zote,huu mpango wa Dogo na hakika ulifanyika kisheria Kati yake na Mama,hawajakurupuka tu kupeana Mali Kienyeji Kama Mama na Mwana tunavyofanyaga Africa!!!Kabisa Auntie hawachelewi kupandishwa cheo kwa mwamposa kisa sadaka nene.
Hapa najiuliza ile michezo ya kodi hispania watamdai nani kati ya hakimi na Mama yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Mimi nashangaa wabongo wanavyoshangiria hiyo kesi Mali lazima zitagawanywa ni swala LA muda tu.Kumbuka hela amepata sheria ya spain au paris ....sio za morroco.....Ile transfer fund wana trace bibi anaitwa court aseme anapata wapi cash flow atasema kutoka mwanae ambae anafanya kazi ulaya .....kesi bado mbichi
Mama analipa Kodi zote,huu mpango wa Dogo na hakika ulifanyika kisheria Kati yake na Mama,hawajakurupuka tu kupeana Mali Kienyeji Kama Mama na Mwana tunavyofanyaga Africa!!!
Kabisa Auntie hawachelewi kupandishwa cheo kwa mwamposa kisa sadaka nene.
Hapa najiuliza ile michezo ya kodi hispania watamdai nani kati ya hakimi na Mama yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unasema tu unawajua wanawake wewe? Wnamitego balaaMy dear wife
Labda nisipate hela zaidi ya hizi
Siyo kweli, kwani huyo msimbe ndiyo alikuwa wakala wake? Na kama alikuwa na mapenzi ya dhati kwa Hakimi si angemsamehe maana katika ndoa kupishana kauli ni jambo la kawaida kabisa. Au unaataka kusema hata hicho kipaji cha mpira huyo model amechangia?Hujasikia upande wa pili.....as yule dada na alivyomsaidia kufika hapo akiwa ulaya .....nadhani ana deserve amlipe waachane kwa amani..sidhanikama dada ana shida kivile ni mrembo no 1 Spain....amemlea dogo from 19yrs to 24 yrs leo Dada ana 36 yrs sasa
asingekua na shida, asingetaka wealth splitana shida kivile
Gueye kafanya nn tenaWake up call to all AFRICAN FOOTBALLERS. IN EUROPE
1.GUEYE
2.
3.
4.
ADD THEM
Another great thinkerKuna mwamba Iringa aliona kashanasa kwenye mtego wa kugawana mali, anataka kumuacha mkewe Ila akiwaza mali pasu kwa pasu ikawa inamuwazisha sana, akamset waifu kuwa wauze mali zote wahamie dar kuanza maisha upya, mke bila kujua akawa analeta hadi wateja. Ile wanamalizia kuuza kijiko jamaa kaenda dar baada ya wiki karudi anaanza kulia pesa zote katapeliwa na haikuchukua muda kamtwanga talaka mkewe
Muongezee mbwana samataUONGOZI WA JUU KABISA KATAA NDOA.
1. Ashraf Hakimi (Mwenyekiti)
2. Cristiano Ronaldo (Katibu)
3. Leonardo DiCaprio (Mweka Hazina)
4. Diamond Platnumz (Mjumbe Wa kamati Tendaji)
KwaHakuna kitu kama hicho,
Mengi alimpenda Jack na Watoto wake, aliishi maisha ya furaha na familia yake hiyo kwa maisha yake mafupi aliyokua amebakiza,
Hizo mambo za Barua fake na sign fake ni hujma tu kafanyiwa yule dada lakini huwezi kufananisha Ndoa ya Mengi na Jack na ya Ashraf na Hiba,
#Msinyanyase Wajane
Kwa hiyo Jack sio Gold digger?Hakuna kitu kama hicho,
Mengi alimpenda Jack na Watoto wake, aliishi maisha ya furaha na familia yake hiyo kwa maisha yake mafupi aliyokua amebakiza,
Hizo mambo za Barua fake na sign fake ni hujma tu kafanyiwa yule dada lakini huwezi kufananisha Ndoa ya Mengi na Jack na ya Ashraf na Hiba,
#Msinyanyase Wajane
Huyu kaoa mbonaMuongezee mbwana samata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Useme watu wanaotumia mitandao yakijamii! Watu wote wakati shangazi yangu Hana simu amempongeza muda gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TV yangu ya aboder na mimi naenda andikisha sitaki ujinga tena na makima [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie napatwa na wasi wasi kweli, maana sio kawaida, na venye mali zote kaandika mama ake ndo nazidi kupatwa na bumbuazi.hilo busu na mama yake mhh