vifungu vya sheria vya huko unavijua????
 
Nani kama mama?

Ajira yangu ya kwanza kabisa nilikua napata posho nyingi sana nikawa na tabia ya kumpa bi mkubwa pesa mara kwa mara tena bila maelezo akitaka atumie ingine aweke hata simfatilii aisee nilipopata lidandasi after 3 years kazini na pesa nyingi nilikua nimewekeza kwenye ujenzi mama ananiambia ana 6M+ kaniwekea.. hua sisahau hili lakin pia alivopambana kutusomesha mzee alivofariki na wajinga wa karibu wakataka kumuweka pembeni, my mom is my soul hata wife anajua hili!

Uzuri hata ukifariki wanao wako salama salmini atawatunza vizuri mnoo so naunga mkono alichofanya mwamba, nashkuru wife na mama ni pete na kidole wanapendana sanaa mom hua ananiwakia kinoma nikimzengua wife.
 
Kumbuka hela amepata sheria ya spain au paris ....sio za morroco.....Ile transfer fund wana trace bibi anaitwa court aseme anapata wapi cash flow atasema kutoka mwanae ambae anafanya kazi ulaya .....kesi bado mbichi
Hakuna SHERIA duniani inayomoangia mtoto kiasi Cha kumpa mama yake. Hata mama akiitwa hawez nyang'anywa zawadi. Tena na hivi huyo mwanamke hajazaa mtoiii, ndo baas tena
 
Unafikiria amepaa akadondoka ulaya ? Mafanikio yako laizma tunachangia na watu .....hizo hasira tu lakini ukweli upo dada anastahiki chake ....na wana mtoto piaa ....hapo utasemaje ? Child support kwa sana lazima
Ikiwa Kuna watoto akimi atapangiwa bei ya kulipa. Halafu kumbuka dada ana Mali, what if zikigawanywa na zake??
 
Nimempena hakimi, Ila kajua kutunyoosha, hakimi kajua Maisha ya mateso ya zamani, dingi yake machinga wale wanaofukuzwa na Askari wa jiji, bi Fatima mfagizi tu, mtoto kakomaa mtu aje kuchukua Mali kiwepesi tu, huyo gold digger mkubwa wake mwamba kiumri, angejua angechuna tu, talaka mkononi Mali empty.
 
Type of these women are few and hard to find.........if you find her , keep her , aseeeewleee. And continue with your struggle without forgetting her.......
 
umeona eh? yan hio picha ya pili imenipa ukakasi kidogo, hata ningekua mimi mwanangu wa kiume na busu la aina hio hapana
Lakini kumbuka hao ni waarabu hivyo hawawezi fanana tamafuni na ww.
 
Ukute wanakulanaa hawa, afu mie sikujua km Hakim ana mke na watoto, hivi mkewe alikua anajisikiaje akiona mumewe na mama mkwe wana kiss tena hadharani, woiiiiiiiii
Had aibuuu km sio uchurooo, hakim na mama ake wanakulana hawaa.
Dada acha kukufuru mtu atalalaje na mama yake aisee?
Alafu hao ni waarabu sio waafrika kama nyinyi hivyo hamuwezi fanana tamaduni kama za kwako.
Mfano Urusi wana utamaduni wa kusalimiana kwa kupigana mabusu midomoni tena wanaume kwa wanaume , lakini huku ukifanya hivyo watu wanaweza hata kukutenga.
 
Uyo ni team upinde asikuumize kichwa wameshalaaniwa awa kwaiyo kila kitu kibaya wao wanaona sawa

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…