BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
vifungu vya sheria vya huko unavijua????Hapo tatizo ni mahakama. Kama mishahara ilikuwa inaenda kwa mama yake. Mahakama ilitakiwa kujirisha kuwa mishahara inaenda kwa mama yake. Ilikuwa ni sababu tosha kuwa mama yake alikuwa ni kipitishio na kifichio cha hela hizo. Kwa hiyo jamaa alifanya makusudi alijua anamficha mkewe. Huo ndio ungekuwa unayanyasaji mkubwa zaidi. Mahakama ingeamua fedha za mama ni za jamaa.
Mahakama ilitakiwa kuhoji. Hela za mama anazioata kwa kazi gani anayoifanya. Vinginevyo ni utakatishaji wa kumfucha mke.
Jamani siungi mkono tabia za wanawake kutolewa na kuachika ili kudai mali.