Eh bc na Ronaldo nae amekaa kiutaalam dhidi ya Georgina
 
Jamaa ana roho ya ubinafsi mtu kakuzalia watoto wawili kwa nini mali andike za Mama yake😬😬
Kwangu Hakimi ni shujaa, ndio mke wake ana watoto wawili ila ukiangalia vizuri mwanamke alitaka Mali na inawezekana ana mwanaume pembeni,mbona Shakira hakudai Mali alizochuma na Pique?
Hakimi katumia akili kubwa mno.
Hao watoto, Hakimi atawalea tu hamna shida.
 
Kwangu Hakimi ni shujaa, ndio mke wake ana watoto wawili ila ukiangalia vizuri mwanamke alitaka Mali na inawezekana ana mwanaume pembeni,mbona Shakira hakudai Mali alizochuma na Pique?
Hakimi katumia akili kubwa mno.
Hawa watu wa chake chake chako chenu. Wakati jayD anaachana na gadna watu walikuwa wanamwandamaba gadna asije dai mali ya mwanamke
 
Jamaa ana roho ya ubinafsi mtu kakuzalia watoto wawili kwa nini mali andike za Mama yake😬😬
hamna lolote. jamaa atakuwa alianza kusoma mchezo mapema akaona bora afanye akili mapema. kwani kumzalia watoto ndio kitu gani? bila de liboloz huyo mwanamke angeweza kuzaa? wanawake tulizeni mbusus hizo muolewe kwa sababu mnataka kugegedwa na sii kupata mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…