yule nae katika vichaa yeye namba moja. bwege kweli mwanaume unachanganyikiwa na mbusus mpaka unajiroga mwenyewe. shenz type kabisa.
hawa warembo ni chobo cha starehe tuu lakini sio kuwaamini kabisa.
mwanamka ata akikwambia leio ni ijumaaa, aisee chukuwa calender uhakikishe kweli ni ijumaa
 
Yaani huu uzi umekufurahisha we mtu na vile unachuki mbaya kwa Wanawake 😬😬😬
 
Nilijua tuu nitakutana na hii hesabu πŸ˜‚
 
Yaani huu uzi umekufurahisha we mtu na vile unachuki mbaya kwa Wanawake 😬😬😬
sasa mbona wanisakama mie tuu. sema uzi umewafurahisha wakataa ndoa wote. leo tena wikend lazima tukaparty kwa niaba ya bwana ashraf.
ametoa fundisho moja zuri sana.
ila huyo mwanamke naye boya unatombwaje alafu hujui mali za mumeo zipo kwenye jina gani ....huyu nae bogus tuu kwanza ashraf alikosea ata kuoa mwanamke hana akili kabisa anajua kupanua mapaja tuu.
 
Asilimia 80% ya mshahara wake unaenda kwenye akaunti ya mama yake
mwamba alijipanga. mama ndio anapanga sasa matumizi ya hela. hii nimeikubali. kuanzia kesho na mie naenda mwambia boss wangu badilisha hel zinatumwa kwenye akaunt ya bi mkubwa. yeye sasa ndio anipangie matumizi. naona itasaidia ata kutokuwa na micheps. mwamba katupa somo kubw asana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…