Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.

Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.

Inaelezwa kuwa mahakama imebaini Ashraf Hakimi alishaweka mali zake zote kwa jina la mama yake muda mrefu uliopita.

==============

Aliyekuwa Mke wa Mchezaji wa Klabu ya PSG πŸ‡¨πŸ‡΅, Achraf Hakimi πŸ‡²πŸ‡¦ aitwaye Hiba Abouk πŸ‡ͺπŸ‡¦ baada ya kuachana na Hakimi March 27,2023 alienda Mahakamani na kuwasilisha kesi ya kudai talaka huku akitaka agawiwe nusu ya mali ya Hakimi.

Baada ya Mahakama kufanya tathimini za mali za Achraf ilibaini kuwa aliyekuwa Mume wake hamiliki chochote kwani mali yake yote imesajiliwa kwa majina ya Mama yake

Hakimi anapokea Euro Milioni Moja (zaidi ya Shilingi Bilioni 2.56 kama Mshahara ndani ya PSG kila mwezi lakini 80% (zaidi ya Shilingi Bilioni 1.64) pesa hizo huwekwa kwenye akaunti ya mama yake Bi. Fatima.

"Hana mali, magari, nyumba, vito au hata nguo kwa jina lake.Wakati wowote na akitaka chochote huwa anaulizia kwa Mama yake ambaye huwa anamnunulia"

Mahakama ilitoa taarifa hiyo.

Inakadiriwa Kuwa Hakimi Achraf ana Utajiri wa Euro Milioni 17 ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 45 ila Mali zote zinamilikiwa na Mama yake, Bi Fatima.

Ninalo jiuliza mimi mpaka mda huu vipi mke wa achraf hakimu ataendelea kudai taraka au mapenz yataendelea kama kawaid funika kombe mwana haramu apite
1681469016278.jpg
 
Fanya hivyo kama

1. Umezaliwa peke yako tu( Mama yako akifa inahesabika ni mali ya familia hivyo mgao unakua wa watoto wake wote,ikitokea umefariki kisha Mama yako yupo hai mkeo na watoto hawana vyao pale na mbaya nyumba ikiwa kwa jina la Mama yako ,mke na watoto wanaweza timuliwa hapo kama hawana maelewano mazuri na Mama mtu)

2. Mama yako sio mtu wa dini sana hasa muumini wa manabii na mitume. sadaka etc zitahusika kufilisi mali zako

3. Mama sio mtu wa vivoba na vikundi wala mpenda mikopo

4. Sio mtu wa sherehe kila kukicha,maisha ya mashindano.

5. Mama usipitwe(kila fashion yake)

6. Mtu wa mashosti,viben10
 
Back
Top Bottom