tinkibiruka mhaya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 929
- 794
Sasa mbakwaji atalipwa nini ππππππUkute hata huyo mbakwaji alitumwa na huyo mke wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbakwaji atalipwa nini ππππππUkute hata huyo mbakwaji alitumwa na huyo mke wake
Tunateseka kwa kweli, ukoloni wa wazungu umetuumiza pakubwaNaona wakristo mnavoteseka na hizi sheria zenu mlojitungia mkaacha sheria za Mungu
Aisifuye mvua imemnyeaHuwa kuna methali fulani hivi mwishoni inaisha na neno "imemnyea" kwa anayeijua tafadhali.
Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.
Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.
Inaelezwa kuwa mahakama imebaini Ashraf Hakimi alishaweka mali zake zote kwa jina la mama yake muda mrefu uliopita.
==============
Aliyekuwa Mke wa Mchezaji wa Klabu ya PSG π¨π΅, Achraf Hakimi π²π¦ aitwaye Hiba Abouk πͺπ¦ baada ya kuachana na Hakimi March 27,2023 alienda Mahakamani na kuwasilisha kesi ya kudai talaka huku akitaka agawiwe nusu ya mali ya Hakimi.
Baada ya Mahakama kufanya tathimini za mali za Achraf ilibaini kuwa aliyekuwa Mume wake hamiliki chochote kwani mali yake yote imesajiliwa kwa majina ya Mama yake
Hakimi anapokea Euro Milioni Moja (zaidi ya Shilingi Bilioni 2.56 kama Mshahara ndani ya PSG kila mwezi lakini 80% (zaidi ya Shilingi Bilioni 1.64) pesa hizo huwekwa kwenye akaunti ya mama yake Bi. Fatima.
"Hana mali, magari, nyumba, vito au hata nguo kwa jina lake.Wakati wowote na akitaka chochote huwa anaulizia kwa Mama yake ambaye huwa anamnunulia"
Mahakama ilitoa taarifa hiyo.
Inakadiriwa Kuwa Hakimi Achraf ana Utajiri wa Euro Milioni 17 ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 45 ila Mali zote zinamilikiwa na Mama yake, Bi Fatima.
Dah PoleniiiiTunateseka kwa kweli, ukoloni wa wazungu umetuumiza pakubwa
Kweli kabisaKua makini katika kuchagua, yule mwanamke hata mavazi yake yanaonesha hafai
Hata hicho kitanda cha kamba kiandikwe jina la mamaKwanza mali zenyewe zipo
au nso kugawana upande wa sofa??![]()
Kwani sheria za Mungu zinasemaje??Naona wakristo mnavoteseka na hizi sheria zenu mlojitungia mkaacha sheria za Mungu
Jiko la gesi na subwooferKwa Mali gani mnazomiliki sasa?!! Kuchoshana tu!
Una uhakika mkuu!! HahaAshraf Hakimi mimi
Sure.Hakimi was ahead of time.
Noma sana..
Tulia ikuingie kisawasawa wewe ShangaziKwa Mali gani mnazomiliki sasa?!! Kuchoshana tu!
Sasa prenuptial agreement si ina maana hamuaminiani aiseeHuwezi hamisha bila consent ya mwenzako sababu umezipata ukiwa naye.
Waweza fanya hivyo kama tu haujamuoa.
Au waweza weka Prenuptial agreement