Yes INDEED
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 304
- 622
Inaonyesha ime kuuma sana dada nuzuNdio shida ya kuwa kwenye mahusiano na mtoto wa Mamaπ¬
πππππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonyesha ime kuuma sana dada nuzuNdio shida ya kuwa kwenye mahusiano na mtoto wa Mamaπ¬
hahaha umeua mwamba. ila jamaa kacheza kama pele vile. hatari! aise watu wana akili mingi sanaApewe Balon D'O kwa jambo hili. Man of the match performance
bado anadaiwa na teamate mwenzie mbape kuna siku maza ake alichelewa kumrushia pesa akakopa kwa hiyo wagawane na madeni maana hadi kocha Ana mdai πππNdio shida ya kuwa kwenye mahusiano na mtoto wa Mamaπ¬
KATAA NDOA UWE MJANJAKuwa mjanja uishi
Hapana Hilo ndio jasho lake haliusianj na mama yake hivi Kwa Sasa unamali unaambiwa mpe mume wako nusu naumetolea jasho unamuona mwanamke mwingine anakula jasho lako manaa lazima huyo dada anamwanaume mwingineNdio shida ya kuwa kwenye mahusiano na mtoto wa Mamaπ¬
Utazeeka utakufa Kwa aibuKATAA NDOA UWE MJANJA
BORA AIBU KULIKO UJINGAUtazeeka utakufa Kwa aibu
π€£π€£π€£Eee,tena pasu pasu...kila mtu amepata utulivu wake...Sawa si wamegawana utulivu mahakamani
Sheria za kiislamu zilivyo mume na mke wakitalikiana mke anaruhusiwa kupewa kitoka nyumba na sio kugawana nusu kwa nusuSmahani mkuu, waislam mkitalakiana hamgawani mali? Mbona Achraf Hakimi ni muislamu?
Wivu utakuua ww π€£Kwa Mali gani mnazomiliki sasa?!! Kuchoshana tu!
ππππAisee kabadilisheni umiliki wa mali zenu
Kama hamjajifunza hapa,usije kumlaumu mtu.
Mwanamke sio ndugu yako
Mbona hujasindikiza na kapicha kidogo kama kawaida yako mkuuMke wa achraf
Kula chuma hiko
Hakuna mwanamke atamuelewa tenaHuyu Jamaa mahusiano yake yajayo yatakua na ugumu sana πππ
Wapo sana. Si wanawake wote hawana akili/mataahira kama mnaokutana nao.Hakuna mwanamke atamuelewa tena
Usifikiri wanawake wote ni wadangaji kama huyo manzi jamaa atapata vizuri tu na watakuja wengi hivi uoni Hili suala nilimewafurahisha hata wanawake ukipita mtandaoni.Atayepoteza ni huyo manzi kwanza itakuwa ni ngumu kwa mwanaume kumuoa mwanamke ambaye teyari ana watoto Cha pili ameonesha ni mwanamke ambaye yupo kimaslahi zaidiNaona jamaaa kajitafutia kukaa single mpaka afe hakuna dem atamkubali tena washa sanda jamaa bahili mno[emoji38][emoji38]
Kwani kuna mzazi anamfundusha mwanae aje kuwa Gold diggerKama wazazi tuwakuze kwenye maadili mema ili wasifikie huko mkuu