Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Lazima Kuna jamboMi naona tusijizungushe kama hatuoni tatizo liko wapi. Huyu mwanaume analelewa na huyu dada either emotionally au financially au both. Dada anajiuliza, kama wewe anakulea, mwanao itakuwaje?
KashesheAu yasipo kamilika kabisa, itakuajee?
Akiwa anakutegemea economically sawa ataogopa. Vipi ikiwa na yeye Yuko stable kiuchumi?. Utatumia njia gani kufanya akuogope?.
Ndy mana nasema hii ni nature na kama sio nature basi ni jambo ambalo unatakiwa utumie akili nyingi wakati wa kutafakari. Au Mimi ndy sielewi kiongozi.
Kasheshe
Ila huyo dada inanonyesha Hana Nia na mwenzie.miaka miwili ya ndoa bado unaomba muda tena
Huyo mwanamke bila shake ni mchaga hapo atakua anamalizia kujenga kwao kwanza.Kwanza mleta mada hajasema huyo mkewe ni mambo gani anayo malizia? Status zao? Hali ya uchumi kwa kila m1, woiiih.
Anayamalizia na kupita hivi🙌🚶♀️Nashangaa sana mkuu, angenieleza mapema
Ndoa ni ngumu walahi😄Kwanza mleta mada hajasema huyo mkewe ni mambo gani anayo malizia? Status zao? Hali ya uchumi kwa kila m1, woiiih.
Kwani mkuu unaishi dunia hii hii au kuna nyingine? Mbona hayo ni mambo ya kawaida saana? Tena hata wanaume sikuhizi baada ya ndoa hawataki watoto kwanza wanataka ku enjoy maisha yao kwanza ndio kisha waplan mambo ya watoto.Wewe kama unaingia kwenye ndoa Huku una mambo yako si bora ukae pembeni kwanza, hayo mambo yakikamilika ndiyo uingie kwenye ndoa
Hawa vijana tukiwambia KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI, wanashupaza shingo....Hebu simama kama Baba na kama mwanaume aisee
Hayo mambo yake na wewe kama mumewe si unapaswa kuyajua?, piga mimba pembeni huko upate faraja...Wanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Huyo siyo mke wako, ngoja mme wake arudi, wewe endelea kumtunzia.Wanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Mke wako anatumia dawa za kuzuia mimba au wewe unamwaga nje?Wanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Haya mambo sio ya kuleta hapa,hili ni suala la kuongea wewe na yeye kwanza,na mkishindana,wapo viongozi wa kidini na wazazi wenuWanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Modern women (feminist) hili kwenu ni chungu sana!!Kwani mkuu unaishi dunia hii hii au kuna nyingine? Mbona hayo ni mambo ya kawaida saana? Tena hata wanaume sikuhizi baada ya ndoa hawataki watoto kwanza wanataka ku enjoy maisha yao kwanza ndio kisha waplan mambo ya watoto.
Wewe umefunga ndoa paap, honeymoon tu ushamjaza mkeo ujauzito. Mnarudi nyumbani anaanza kutapika , kutema mate na kulala siku nzima. Wewe unageuka mtu wa kumhudumia, mipango yako mingine lazima ilale. Kumbuka hapo ndoa changa hamjapata hata chance ya kujuana vizuri ( kwa kuishi pamoja). Visirani vya mimba vinaanza.
Miezi inaenda mtoto huyu hapa, mtoto halali usiku kucha ni kupeana shifti za kubembeleza mara ameumwa unakesha hospitali na asubuhi unatakiwa uingie kazini na ukirudi usaidie majukumu nyumbani na kukesha mkibembeleza mtoto. Utaiona hiyo ndoa ni adhabu.
Okay, ninachotaka kusema ni kwamba ndoa ni zaidi ya kuwa na watoto. Kuna mtu ukimwambia sipo tayari kupata watoto sasa hivi anakubali vizuri tu ila anataka akuoe muendelee kuishi. Na pia kuna ambao wanaoana kwa makubaliano ya kutokupata watoto kabisa (au nasema uongo mzabzab ? .
Halafu niwaibie siri, huko kujidai kwenu sio waelewa ndio maana mnaoa mnashangaa hampati watoto mnazunguka hospitali zote mnamaliza kumbe ni mkeo tu hataki ila ameona una kichwa ngumu.
Ulizaneni hayo maswali kabla ya kuoana.