Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

Ndoa ngumu sana, najijua nina moyo mwepesi sana, sijui kama ntayaweza haya mambo, Mungu atusaidie vijana, otherwise tutaishia Magereza, Segereaaaa.
 
🤕 kisa chako, kinafanana na yule jamaa wa riwaya ya A MAN OF THE PEOPLE. Kidemu Cha mule Kila kikilala na mwanaume, lazima kitaje jina la mwanaume mwegine wakati wa tendo. Jamaa akapiga chini na wewe piga chini 🤕
 
Chai moto
 
Pole mkuu umerudi kwenye ndoa umekuta handicap -2 [emoji16]
 
Haina shaka, kwan na wewe kabla ya kuoa uliwala wangapi?
 
Kwa sasa tulieni tu na mridhike na hali ya dunia inavyokwenda....asilimia kubwa sana ya wake za watu kwa sasa wameona ni kawaida kutoka nje ya ndoa.Chukulieni hili kama ni dhaifu kama madhaifu mengine la sivyo hamtoacha kuchinjana
Point KUBWA SANAAA
Japo SIIAFIKI..!!!

#YNWA
 
Unapeleka moto kwa moto kumbe yeye anahisi anapelekewa moto na mchepuko

Sema ulijitahidi kukifikia kiwango cha mchepuko wake. Mungu akupe hekima katika hiki kipindi kigumu.
 
Kwa sasa tulieni tu na mridhike na hali ya dunia inavyokwenda....asilimia kubwa sana ya wake za watu kwa sasa wameona ni kawaida kutoka nje ya ndoa.Chukulieni hili kama ni dhaifu kama madhaifu mengine la sivyo hamtoacha kuchinjana
Yani uchukulie kawaida kuchapiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…