Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

Wanakimbia au wamesoma wapo Kila mahali ndani na nje ya nchi
 
🔹 Ulaji wa Nguruwe ✅✅✅✅✅💯

🔹 Unywaji wa Mbege✅✅✅✅✅💯

🔹 Ndoa ya Mume na MKE mmoja✅✅✅💯

🔹 Imani thabiti ya ✝️✝️✝️✝️✝️

🔹Ulaji wa vyakula vya asili💯
 
Kuna Jamaa alikua anaipamba Mwanza hivi nikapanga Safari mpaka Mwanza nilichokiona picha linaanzia Stand ya Nyegezi nikatoka nikaenda mpaka Nyamhongolo Stand km unaenda Kisesa nikarudi mpaka Buzuruga baada ya hapo sikubari tena Maneno ya kuambiwa na mtu mtandaoni Kilimanjaro nimefika Ila sikukaa sana nikaondoka sema Jamaa punguza majisifu watu watapiga Safari wakapige picha
 
Maelezo sahihi yanatakiwa kuwa, Kilimanjaro ndio mkoa unaongoza kuwa na rundo kubwa la wazee waliorudi na kutelekezwa, huku wakiishi na vijana rejects ambao walikimbia mikoa mingine Hali ikawa ngumu wakarudi.
Usiandike jambo usilolijua
Kilimanjaro wameendeleza makwao, huduma za kijamii, maji, umeme, hospitali, usafiri wa uhakika nk, nyumba za uhakika (self), hawana njaa njaa
kwa nini wazee wakimbilie kuwa ma housegirl/boy kwa watoto wao, wakati wanaweza kukaa nyumbani kwao raha mustarehe na kuishi maisha watakayo na sio kupangiwa na mtu?
Watu wenye maisha yao wanapenda kuishi watakavyo na sio kwenda kuwa mayaya wa wajukuu
na ndio sababu wanaishi umri mrefu
 
Rombo IPO Mashati au Kilimanjaro?
Rombo ni wilaya katika Mkoa WA Kilimanjaro,mashati ni tarafa ndani ya wilaya ya rombo
Visit mashati
Visit Tarakea
visit Holili
Visit usseri
Visit Mkuu
Hizo zote ni miji midogo za rombo na zimechangamka Kweli sio ajabu wilaya ya rombo pekee ina matawi ya benki 5
(Nmb mkuu,crdb mkuu,nmb Tarakea,crdb Tarakea,nmb holili
)
 
👍
 
Kilimanjaro imejengwa vijijini kuliko mjini,NBS wanatutanabaisha Kilimanjaro ndio Mkoa wenye makazi ya kisasa vijijini kwa 90%
Kilimanjaro 80% ya Kila Kaya ina maji na umeme(vijijini), Kilimanjaro hakuna nÿumba ya nyasi kabisa(nenda Kilimanjaro ukikuta nÿumba ya nyasi ya makazi nakupa m 1)
MWANZA ni mjini tu vijijini watu Wana share maji na ngombe
 
Umemjibu vyema
 
Sasa hapo Rombo kituo kuna Dada yenu mmoja aliniita nije niwasaidie kazi vijana huko wanashinda vilabuni tu mpaka Dada zenu wanatuita huko tuje tuwape support basi tulihamishia mpango mzima guest 1 amazing sana ulinzi wa kutosha CCTV km zote wiki 1 ni mwendo wa kuagiza Mbuzi choma tu wine kwa mbaaali sema hali ya hewa nzuri usiku kaubaridi fulani hivi sema nini Dada yenu alikuja akanizingua nikampiga chini
 
Maendeleo wapi? Wakati wazee hao ni mzigo ....Mnakaa kweny mikoa ya wtau kufanya utapeli mkizeeka mnarudi kwenu 😀 😀
Utapeli? Tapeli anaweza kumiliki Makampuni,kujenga majumba Kila mahali? MAANA mchaga akikaa mahali miaka 5 asijenge ni Nadra wewe Akili zako zinakutosha kuvaa msuli na kuanika má kende tu
 
Hahaha umenivunja mbavu mkuu
 
Good news about kilimanjaro hawatelekezi wazee, na wastaafu wengi wa jamii hiyo kwa hiyari huchagua kurudi nyumbani
Good news about nyumbani kumejengeka, pesa inatumwa isitoshe na wahusika kila mwaka wanakuja. Mzee anapataje stress hapo
Dact
 
Sababu ni pombe,kitimoto na kuchapa kazi(Kusaka Pesa)
 
Mwanza ipi hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…