Fred Lowassa sio msomi? Mrisho Gambo sio msomi?Arusha kwa sad HV hawana wasomo was kuweleweka sad kina gamb unawapa uwazir au unaibu au kina pallanyo ,Fred lowasa ,Noel limbris amabaye awez ata kuchangia hoja hpn mpk wapeleke wasom kwa kwrl
Hahahah!!!!SUKUMA GANG kaz wanayoKaa kwa kutulia......hayo mambo unayasema leo.....hukuyaona huko nyuma?Kawaida kila kiongozi anafanya kazi kwa ukaribu na watu anaowajua kwanza....ikifika zamu yako na ww teua ndg zako na muda wako pia utaisha watakuja wengine......nyie si ndio mnasema watu wa Pwani hawajasoma kazi kucheza ngoma?sasa tulia hiyo ndo ngoma inachezwa sasa.....
Hili linafaa sanasio Msoga gang tena..
Ni upendeleo huo tunaoukataa. Kuwepo kwa KMK na MR isifanye mkoa mzima wa Kigoma ndio utoe asilimia kubwa ya senior civil servants katika nchi.Kigoma nao sasa wasemeje maana wana Makamu wa Rais, wana Waziri wa kazi, wana Katibu mkuu kiongozi, wana katibu mkuu wizara ya Fedha, wana katibu mkuu wizara ya Maliasili na utalii kwa uchache tu. Inawezekana wana wengine siwakimhuku. Pwani kupata manaibu imekuwa nongwa? Uongozi hatuangilii wanatoka mkoa gani bali uwezo wao
Mwl JKN aliasisis hilo muambie huyo, hakuwepo kipindi mwalimu akisagana na vichwa punde tu baada ya Uhuru kiasi cha kuwabambika wengine uhaini, hawa wa sasa wanaenzi tu, Dotto James mpwa wa JPM alipewa funguo za hazina, kisha yule cha pombe kitwanga akapewa wizara bahati mbaya akasalitiKaa kwa kutulia......hayo mambo unayasema leo.....hukuyaona huko nyuma?Kawaida kila kiongozi anafanya kazi kwa ukaribu na watu anaowajua kwanza....ikifika zamu yako na ww teua ndg zako na muda wako pia utaisha watakuja wengine......nyie si ndio mnasema watu wa Pwani hawajasoma kazi kucheza ngoma?sasa tulia hiyo ndo ngoma inachezwa sasa.....
Kwani nyinyi Dodoma si mna Mavunde, Kijaji na Ndejembi Haikuwatosha? Kabudi alieamua kuasi ubabani bora wamemuenguaNi upendeleo huo tunaoukataa. Kuwepo kwa KMK na MR isifanye mkoa mzima wa Kigoma ndio utoe asilimia kubwa ya senior civil servants katika nchi.
Kagera,Kilimanjaro,Mbeya,hata wasipopewa waziri hata mmoja,uchumi wa nchi hii umeshikwa na jamii kutoka hiyo mikoa,Hizo jamii zipo kila sekta,mapato,Bandari,un,kwenye biashara,usafiri,mazao,mawasiliano,uhandisi,huko sekta binafsi,Elimu ya juu,1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Lengo la mama ni kukwamisha bara kwa namna yoyote1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Mabula, Tax, Bitteko, Masanja, Mashimba, Katambi.Msoga gang 5 - Sukuma gang 0
Tukiacha huo mkoa kuwa na mawaziri wengi .pia tuangalie maendeleo ya kila mkoa ni sawa??? Mkoa wa pwani una maendeleo sawa na mwanza.arusha.dodoma na dar zilizo na mawaziri wachache ????? Tuseme huu ulisahauliwa sana na hakuna mwanajamii forum anasema .tukiwa tunaketa ubaguzi tuseme yote tusiweke double standard.1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Katiba mbovu sana. Kama Kenya Rais anateua mawazili kwa kubalance Kanda na jinsi ipo kwenye Katiba. Hiyo ndio picha halisi ya utaifa kuwakilishwa. Sasa huyu mama yeye anaangalia 2025.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hajasema kanda kasema mkoa usisome kwa kukurupukaHebu tupe idadi ya kanda ya ziwa
Kanda ya kaskazini.
Kanda ya nyanda za juu kusini...
Hizi siasa za kifala, watoto wetu watakuja kutudharau sana