Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

Una viwanda vingi baada ya Dar.
 
Ni wakati wao
 


Hapo zamani za kale kila waislam kuhoji kwann wanabaguliwa ktk teuzi.

Majibu mepesi yalikuwa nendeni shule, hamjasoma.

Lkn historian ni mwalimu.
Wakati Nyenyere wakurya walijazwa jeshini
Wakati wa mkapa wamakonde na wachaga walijazwa usalama na tra
Wakati wa Megaful sukuma gang ilitamalaki.

Swali la msingi ni je mkoa wa pwani na znz wana wasomi wengi ukilinganisha na mikoa mingine
Pwani 5
Znz 5
Au ndio tuseme
Kila zama na nabii wake
Kila zama na kitabu chake.

Lugha rahisi ni kuwa katiba ya sasa inampa ruhusa Raid kufanya upendeleo na ubaguzi.

Na ile ngonjera ya hawajasoma ni ya kuhalalisha ubaguzi
 
Aliye teua Yuko huko huko unategemea nini? Hata hao watano ni wachache
 
Mutajua wenyewe sisi tunachofurahia mama kawaweka ndugu zetu wengi tena waislam safi.[emoji12]
 
Mashaka yangu mimi ni uwezo, weledi na Commitment ya wateule.
 
"Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?"

Mkoa wa Pwani ndio unaongoza kwa kuwa ma viwanda vingi Tanzania hii hii.
 
Mbona mnang’ang’ania kwamba tuna mikoa 26? Mikoa mitano mnaipeleka nchi gani? Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina mikoa 31.
Kuke zanzibar wanapata waziri au naibu kwenye wizara tatu tu
 
Hata Baraza Zima watoke Tanga hakuna shida ilimradi wanachapa Kazi..

Kama mlichagua viazi tuwasaidiaje? Kama mlichagua wasaka Urais ndio nafasi ya kuwaacha wausake zaidi.
 
Enzi zile sasa
1. Bitteko-home kabisa
2. Kalemani- Wa sebuleni
3. Mabula- wa nyumbani
Achana na hao wa Shinyanga sijataka kuwajumuisha.
Na yanayopiga makelele zaizi ni masukuma gang ,hayawezi ona boriti kwenye jicho lao
 
Je tutaathirika kwa lipi ikiwa tumekosa hao mawaziri na manaibu? Hata Songwe na Njombe hawapo kwani hapo tumekosa nini?
 
historia inatuambia watu wa pwani wanatuharibia nchi, hata sasa sioni wala sitarajii kuona tofauti
 
historia inatuambia watu wa pwani wanatuharibia nchi, hata sasa sioni wala sitarajii kuona tofauti
As for me ,siko tayari kuongozwa na masukuma,yametuonyesha yalivyo mapuuzi.

Mtwara ni Pwani alitoka Mkapa,Majaliwa,nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…