Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

Kwa hiyo kuwa na mawaziri ndio wanakuwa wamesoma?
 
Sio kila mtu ni msukuma. Baraza la mawaziri liwe na sura ya kitaifa. Hilo nitalisema daima. Hata kama linakukera
Umuweke Rasta fari Jah mzee wa atake asitake,[emoji3][emoji16],umuweke kibajaji eti kisa sura ya kitaifa,umuweke babu Tale[emoji16][emoji16],eti ku-equalize mambo....mumerogwa ninyi?
 
Utawala katika nchi hautakiwi kuwa na alignment iliyopinda pinda. Msiwafanye watu wajinga, eti hakuna faida ya kuwa na uwakilishi katika baraza la mawaziri.
Kina Nyerere, Mwinyi na Mkapa waliokuwa wakiheshimu hiyo kanuni walikuwa na akili sana tu.
 
Kwa hio Kikwete,JPM na Samia hawana akili?[emoji849][emoji125][emoji16]
 
Umuweke Rasta gari Jah mzee wa atake asitake,[emoji3][emoji16],umuweke kibajaji eti kisa sira ya kitaifa.....mumerogwa ninyi?
Kwa hiyo majimbo yote ya mkoa wa Rukwa au Mkoa wa Morogoro au Mkoa wa Manayara una watu sampuli ya kibajaji? Utapaliwa wewe.
 
Katiba mbovu sana. Kama Kenya Rais anateua mawazili kwa kubalance Kanda na jinsi ipo kwenye Katiba. Hiyo ndio picha halisi ya utaifa kuwakilishwa. Sasa huyu mama yeye anaangalia 2025.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Si tulikubalina JPM atake asitake,ata awe maiti tutamuongezea muda?.......
 
Kwa hiyo majimbo yote ya mkoa wa Rukwa au Mkoa wa Morogoro au Mkoa wa Manayara una watu sampuli ya kibajaji? Utapaliwa wewe.
JPM alichagua Mawaziri 3 wa pwani,huku mikoa mingine hawana hata mmoja,mama kaja kamalizia 2........lakini si tulikubaliana watu wa pwani hawajasoma na ni wavivu sana[emoji16][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Usijisahaulishe Mpangaji list yuko msoga pwani...
Mchengerwa aliimudu utumishi tatizo alipush sana haki za watumishi ikiwamo madaraja nk.
Anakuja mwalimu jini staa tarajia tabu kwa watumishi nahaki kuminywa hicho ndokitu anakiwezeaga
Yetu majichooo doh!!
 
JPM alichagua Mawaziri 3 wa pwani,huku mikoa mingine hawana hata mmoja,mama kaja kamalizia 2........lakini si tulikubaliana watu wa pwani hawajasoma na ni wavivu sana[emoji16][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]
Pwani ndiyo ya mwisho. Kiuchumi shukuru Wasukuma na maasai kuleta kilimo na ufugaji. Wenyeji ni ngoma tu na kulawitiana
 
I am tired of this, something needs to be done urgently,
 
Pwani oyeee

1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia

Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?

Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Sio washauri, ni yeye mwenyewe, yeye ndio anataka watu wa design ya mipasho mipasho,
 
Sio kila mtu ni msukuma. Baraza la mawaziri liwe na sura ya kitaifa. Hilo nitalisema daima. Hata kama linakukera
Shangaa Leo Wagogo Wahehe wapogolo wote wanaitwa Wasukuma. Ukiwapinga Hawa wanakuita Msukuma. Mtume Gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…