Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

Hakuna mabumunda kwenye wabunge wetu. Haifai kutokuwa na regional representation kwenye baraza.

Huo ndio ulikuwa mila, desturi na utamaduni wetu toka uhuru.

Msipuuzie kwa kupendeleana.
 
Mkuu masopakyindi wewe ni miongoni mwa legend humu. Ni vyema ukaja na analysis iliyoshiba ili watu wajadili kwa weledi badala ya haka kauzi ulikokaokota huko twitter unakasukuma humu bila hata maelezo yaliyoshiba.
Point
 
Soma lawama na uielewe, sijasema nani hafai.
Baraza lazima li reflect NATIONAL representation.
Nothing less.
 
Wewe utakuwa ni mzaramo
 
Pwani oyeee

1. Dr. Jaffo..kisarawe
2. Mchengelwa..Rufiji
3. Ridhiwani..Chalinze
4. Ulega..mkuranga
5.kipanga..mafia

Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Mama Samia hapa washauri wamekubambika.
Majority ni ukanda wa Pwani...kuanzia Tanga kwa Ummy, Dar, Pwani, Lindi hadi Zanzibar
 
Pwani oyeee

1. Dr. Jaffo..kisarawe
2. Mchengelwa..Rufiji
3. Ridhiwani..Chalinze
4. Ulega..mkuranga
5.kipanga..mafia

Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Mama Samia hapa washauri wamekubambika.
Baraza lina mawaziri na manaibu wangapi ?? Mgawanyiko wao kikanda upoje na mapendekezo yako ni yapi ili mh asidanganywe ??
 
Mkoa mzima wa Arusha kuna naibu waziri mmoja tu;
Mkoa mzima wa Manyara kuna naibu waziri mmoja tu.
Hivi mkoa wa Morogoro kuna naibu waziri hata mmoja?

Mkoa wa Tanga kuna mawaziri watatu.

Mkoa wa Pwani ndio kama alivyoonyesha mleta mada.

Hivi tunapeleka wapi nchi katika pande hizo za kisiasa?
Badala ya kurekebisha makosa tunaendeleza kwa kulipisa kisasi?
Tunataka kuwaachia watoto na wajukuu nchi ya namna gani?
 
Pwani oyeee

1. Dr. Jaffo..kisarawe
2. Mchengelwa..Rufiji
3. Ridhiwani..Chalinze
4. Ulega..mkuranga
5.kipanga..mafia

Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Mama Samia hapa washauri wamekubambika.

Uzi kama huu ulishawekwa hapa mkuu...

Thread 'Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?' Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…